Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi naanza kumchekesha huku nimenuna...najisifia huku nimenuna tu mara week hii makazi yalikuwa mengi macho yananiuma akithubutu kusema kwanini namwambia nimekaa kwenye computer mda mrefi...unajua wanawake sio wa kutongoza just muonyeshe upo juu yake hata kimasihara tu unampata...sio lzm umsifie sana ila lazima ujue kujisifia sana ila indirect way sio mi nina gari mara hivi mara vile anakuona mshamba tu.....this week nipo busy...tyr keshajua unachakufanya sio mkaa vijiweni,next week tuna ugeni ofisini hawa wazungu wanatupelekesha htr kesha jua unafanya kazi hadi na wazungu,ukitaka kuonyesha una hela unaweza nnunua korosho ya 10000 tu hlf ulivyo mjinga unasingizia yaani mi napenda sana korosho kumbe huna lolote unamuonyesha naweza kutumia hela kwa kitu kdg nachokipenda coz nina pesa...
 

Mkuu mwisho wa mwaka tukumbushane nkupatie cheti cha mtunga mbinu bora [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…