Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Duh,
 
Attachments

  • IMG-20171016-WA0000.jpg
    IMG-20171016-WA0000.jpg
    53.9 KB · Views: 83
Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...

Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa haya madini mtoto hachomoki
 
Yote tisa kumi kwako ........................ KWA KIFUPI nimetokea kuvutiwa kimapenzi na wewe, Pindi nikuonapo moyo wangu umekuwa ukininienda mbio kama gari bovu lilokosa breki katika mlima kitonga. naomba uniweke huru ndani ya jela hii ya mapenzi.
Ukinipa jibu lenye unyonge nitakonda kama mnazi wa pwani. nataka tuwe pamoja kama samaki na maji. mizizi na Ardhi.
 
Du mistari balaa
 
Back
Top Bottom