Yangu simple, watoto huwa hawachomoi haka kamsemo kangu.
"Hufai kuwa mwanamke,,,,,,,,," alafu unyamaza kama dakika moja hivi, ndo unakuja malizia kwa kusema
"Unafaa kuwa mke"
Nyingine hyo,
"Natamani ume mke wangu, hasa kipindi cha baridi uwe unakumbatia nywele zangu za kifuani"
Nyingine hyo,
Hakika Wewe nimeona ni sehemu ya pili ya mwili wangu ila huwezi jua jinsi gani nilikupenda,
Katika mamia nimekuchagua kwa mahaba yangu ya ukweli na wala si ya kuigiza nipatie kila nilicho kifuata kwako sito kuacha mpenzi mtalajiwa,
Ukiona kuna udalili Wa kukubali,
Unamdondoahea hii
" najua baada ya kazi za mda mrefu mwili wako umechoka na kuhitaji mapumziko zaidi, ila kwa vile taifa lako bado linahitaji Huduma zako kama kweli umenipenda naomba ufumbe macho niweke usoni pako, machoni mwako hakika uchovu utatoka na kurudiwa na nguvu , Fanya hvyo Mara moyo wangu nakupenda sana mpenzi mtalajiwa.