Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Hahahahaha na ameyapata maana madini yametemwa humu si kitotoNaona mkubwa anatafuta misitari kijanja
Kwa haya madini mtoto hachomokiNimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Lazima mtaani kwao awe mfaume wa mistariHahahahaha na ameyapata maana madini yametemwa humu si kitoto
Lisemwalo lipomama yangu ana wasiwasi kuwa mimi ni shoga, naomba unisaidie kumthibitishia kuwa mawazo yake si kweli!!!
duuuu Mungu anakuona[emoji3][emoji3][emoji3]NIMEKUFA NIMEOZAA.
MuraDondoka nikurarie.
duuuu noma nomaHata ukikataa hapa ndotoni nitakufanya tuu. Kubali yaishe.
Yule bonge mwenye chura nzuri uliemtafuna halafu ukaja kutangaza hapa JF na wapenzi wako wa JF wakafura kana kwamba wamelishwa testicles ulimtupia mistari gani mkuu?[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakujibuYule bonge mwenye chura nzuri uliemtafuna halafu ukaja kutangaza hapa JF na wapenzi wako wa JF wakafura kana kwamba wamelishwa testicles ulimtupia mistari gani mkuu?[emoji28][emoji28][emoji28]
Du mistari balaaYote tisa kumi kwako ........................ KWA KIFUPI nimetokea kuvutiwa kimapenzi na wewe, Pindi nikuonapo moyo wangu umekuwa ukininienda mbio kama gari bovu lilokosa breki katika mlima kitonga. naomba uniweke huru ndani ya jela hii ya mapenzi.
Ukinipa jibu lenye unyonge nitakonda kama mnazi wa pwani. nataka tuwe pamoja kama samaki na maji. mizizi na Ardhi.
Watake radhi dada zetu hawako ivoNi mjita mkuu!!
Hahahahaaaaa!!!Watake radhi dada zetu hawako ivo
Na akishaliwa anakua mpenz tayari,, hii style imenifanya nipate wanawake wengi sana bila tatizo.Hahaha