Sentesi Gani ukiisikia unajua tayari kuna mtu kaibiwa?

Sentesi Gani ukiisikia unajua tayari kuna mtu kaibiwa?

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
1691219345309.jpg


Ukipita ukasikia mtu anaongea..

"Niki renew lani hela atakua hajaitoa bado"?
Hapo ujue imeenda hio na huyo mtu hio.
 
Jiunge halafu uunganishe watu 5
Kuna mdada flani alinambia nijiunge kisha niunganishe wengine watatu baada ya mwezi nitaendesh gari la ndoto yangu ........ nikamwambia anipe namba zake .....siku ya kaanz nilimtoa dina akanywa na bia 3 ...... juma pili yake akaja geto ...... tangu nlimla hajaniuliza maswala ya kunga tena ...sahv ananita baby
 
"Nilitaka nishangae, Mwaka kuisha bila kutoa Sadaka"
 
"Aliniambia Ashafika Stend anasubiri tuu Pesa atoe akate tiketi aje"
 
Mama ameniambia niwapikie wageni kwanza...😤😤😤
 
Back
Top Bottom