Sentesi Gani ukiisikia unajua tayari kuna mtu kaibiwa?

Sentesi Gani ukiisikia unajua tayari kuna mtu kaibiwa?

"Bro umewaona watu wawili moja kavaa sweta lenye kofia mwingine kavaa jinsi wamepita hapa? "

"Hujaiona?.. Niliweka mfukoni na nlikuwa nayo kabisa hapa mda sio mrefu we hujaniona nayo kwani?
 
Back
Top Bottom