Kuna mdada flani alinambia nijiunge kisha niunganishe wengine watatu baada ya mwezi nitaendesh gari la ndoto yangu ........ nikamwambia anipe namba zake .....siku ya kaanz nilimtoa dina akanywa na bia 3 ...... juma pili yake akaja geto ...... tangu nlimla hajaniuliza maswala ya kunga tena ...sahv ananita babyJiunge halafu uunganishe watu 5