Sentesi ipi ni sahihi?

Sentesi ipi ni sahihi?

Wangu hutumika kuleta umilikishi wa nafsi katika dhana zanye uhai na Zangu kwa dhana zisizo hai. Hivyo kwa kiswahili fasaha ungesema
Hawa ni wadogo wangu.
Hawa ni ndugu kwangu.
 
Kwa kuwa umetumia neno 'wadogo' likiwa na maana ni zaidi ya mmoja basi sahihi kutumia hapa ni 'zangu' Zangu ni wingi wa wangu linapokuja suala la upatanisho wa kisarufi. Mfano unaweza kusema mchumba/mwalimu/mke/ wangu (ikiwa ni mmoja) na wachumba zangu (ikiwa ni zaidi ya mmoja).
 
kati ya sentensi mbili hapo juu sahihi ni hii "hawa ni ndugu zangu" ila iliyo sahihi zaidi ni hii "hawa ni wadogo zangu"
 
Back
Top Bottom