Angalia hii video ikubadilishe mawazo yako mleta mada. Huyu mtu yupo hai, hakufa na hakuna kaburi lake wala mazishi yake. Bangi ilimzidia akapata celebral malaria..
ENDELEA.
wengine wanasema alilogwa na lacky dube. Nahitaji video zake mkuu.
na hii kali sasa............who is senzo?is it a new political party?
wewe umeua....who is senzo?is it a new political party?
Senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo
hii ya kulogwa sasa kali, hata mimi nilisikia alipigwa risasi na watu waliotumwa na lucky dube, na ndio maana dube nae alipigwa risasi in revenge. Ila sijawahi kuona picha yoyote .
senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo
senzo ni aina ya coca-cola.
senzo alikufa kifo cha kawaida.