njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Injinia Hersi baada ya kudaka saini ya KI aziz Stephanie , Peter shalulile huku ikisemekana wanamtumia Ibenge kuharibu deal la Adebayor ili wamchukue amefanya matusi makubwa sana
...................Tiririka nayo kutoka kwa Fabrizio Romano wa Jamii forums..............................
Unaambiwa yale malipo ya dollar 900,000 kwenda kwa simba kutoka kwa Ahly yalikuwa yanalipwa nusunusu na bado hayajakamilika maana yalikuwa ni kwa miaka 4..sasa kutokana na kwamba konde boy anatolewa kwa mkopo au kuuzwa wengi walidhani angerudi simba lakini hakukuwa na clause hiyo hata kidogo
Senzo na Injina wamefanya mapinduzi makubwa sana sana imetumika kama usd milioni 1.2 kumleta konde boy jangwani msimu ujao
HUKU ADEBAYOR, KI AZIZI KONDE BOY PETER SHALULILE JOASH ONYANGO injinia herso anaanda team ya kuchukua ubingwa wa Afrika na wa klabu bingwa ya dunia kama alivyomuahidi Peter shalulile
Usajili mzito bado unaendelea pale jangwani mabingwa watarajiwa wa afrika na dunia 2023.