Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Ukiiua Yanga unapata faida gani, badala ya kuifikiria TP Mazembe na Mamelody unaifikiria Yanga.
 
Professional CEO angejiuzulu na kueleza sababu, sio kukimbilia sebuleni kwa mtu kusaini mikataba ya klabu ya Yanga.
Pole sana,ninyi ndio klabu yenye uswahili mwingi hapa nchini kuliko hata vikundi vya kusutana
 
Ukiiua Yanga unapata faida gani, badala ya kuifikiria TP Mazembe na Mamelody unaifikiria Yanga.
Wasubilie kupigwa viganja kule kwenye mashindano ya Afrika, [emoji112]
 
Kwa hiyo hizi zako ndo fact,kwa namna hii ndo maana Senzo kaondoka.Ile Simba unaishi kihunihuni tu.
Senzo kasema kuwa Simba hakuna kitu kinaitwa professionalism bali Manara yeye akijipendekeza kwa Mwamed basi ndiyo anayepewa kipaumbele
 
Tumewatenda mbumbumbu fc utafikiri ni katimu ka mkoani huko! Yaan utadhani hawana mwekezaji! Tukipata mwekezaji si tutanunua mpaka kajengo kao na kale ka uwanja kao kule Bunju
Labda simba inunue hapo kufugia vyura /NYANI
 
Subiri kesho Monday utaijua simba
 
Kwahyo Senzp atacheza namba ya nani? Yanga shida yenu kubwa ni kufulia na hamna wachezaji wazuri.Sasa huyo Senzo ndiye atafanya nini
 
Yanga watakuwa wamepata mtu makini sana kuelekea kwenye mabadiliko atawasaidia sana na anazo details muhimu sana walizo pitia watani wao Simba.
Details hazina msaada wowote kama mpinzani wako kakuzidi level.

Yani ni sawa saizi malawi ipate detail ya kua white house ya marekani kuna mali za thamani zimehifadhiwa halafu kwasababu malawi imefanikiwa kupata hizo details ya mahali hizo zilipo basi waende wakavamie
 
Acha kuingilia maisha ya watu.. Huko alikotoka ndo kuna majuto..
Umeona wapi mtu anaacha kiyoyozi akakimbilia moto mkali unaounguza..
Karibu yanga Afisa mpya
Kama ana homa inayomfanya ahisi baridi unafikiri kiyoyozi kitakua kitakua na msaada gani kwake wakati hali ya ugonjwa inamshurutisha awe opposite na hali ya halisi?
 
Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujao
Kinachomfanya shaolin awe anapiga kungfu sio yale magolole ya ki-monk anayo vaa

ukahisi hata wewe ukipewa uvae utakua unapiga kama yeye kuna kitu extra zaidi ya hiyo miguo unayoiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…