Ukiiua Yanga unapata faida gani, badala ya kuifikiria TP Mazembe na Mamelody unaifikiria Yanga.Huyu anaenda kuwa jasusi pale Yanga! Hii ni mbinu ya kuibomoa Yanga! Naiona utopolo fc ikizidi kuyumba ! Trust me! Njia kuu ya kumuua mpinzani ni kuwa na jasusi katika kambi pinzani! Simba sc wamedhamiria kwelikweli kuiua Yanga! Ukibisha uje na facts za kueleweka. SENZO ANAENDA KUWA JASUSI PALE YANGA SC.