Kwenye hiyo meza nime zoom nimemuona kunguni
Proffesional bila pesa utaishia kutimuliwa kwa aibu kama zahera na yule DJ ema boyKuna ka ukweli mkuu maana huyo mtu ni professional wa mambo ya utawala kwenye football industry
Uwajui wabongo mzee?Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?
Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Naona hili pigo limewapata sehemu husika haswaaa maana sasa siri zenu zoote zipo mikononi kwa yanga, mjiandae kwa maumivuUwajui wabongo mzee?
Bomu limesikika likilipuka na vilio vya watu walio jeruhiwa, mzungu kakimbia mbali na lile eneo la tukio ili kujiokoa wakati mbongo anakimbilia sauti ya bomu ilikotokea ya ili akashuhudie namna gani limelipuka
Yani morrison kakimbia njaa halafu na wewe unatoka sehemu yenye shibe unaenda huko huko alikokimbia mwenzako?
Nakushangaa kidogo, maana huyo senzo amesema kuwa timu ya simba inaendesha mambo yake ki unprofessional zaidi.Proffesional bila pesa utaishia kutimuliwa kwa aibu kama zahera na yule DJ ema boy
Pale hata aje furgerson kuikoch timu alafu zidane awe kocha msaidizi bado majungu hayaepukiki.
Huyu ceo mpya wenu mwaka huu kila step atayo-move kila mtu atakua anamcheki sasa akizingua kidogo tu hata yanga watahisi kua jamaa amekuja kwao kama spy hata kama jamaa kateleza bahati mbaya
Haikusaidii kitu mkuu na hata kama atakuwepo kunguni haitasaidia kumrudisha Senzo simba wala haita wazuia Chama na Kanda kesho kusaini yanga.Kwenye hiyo meza nime zoom nimemuona kunguni
Pole sana naona maumivu yanazidiKinachomfanya shaolin awe anapiga kungfu sio yale magolole ya ki-monk anayo vaa
ukahisi hata wewe ukipewa uvae utakua unapiga kama yeye kuna kitu extra zaidi ya hiyo miguo unayoiona
Details zote tunazoYanga watakuwa wamepata mtu makini sana kuelekea kwenye mabadiliko atawasaidia sana na anazo details muhimu sana walizo pitia watani wao Simba.
Naona hili pigo limewapata sehemu husika haswaaa maana sasa siri zenu zoote zipo mikononi kwa yanga, mjiandae kwa maumivu
Details zote tunazo
Huyo c mama yko ww
Details zote tunazo
Utaelewa tu,nawewe kama ni mfagizi wa ofisi za mikia napitia faili lako soon,maana kila kitu cha Simba tunachoHuyo c mama yko ww
We huwezi kuelewa,soon utaelewa zitatusaidiajeSitawasaidiaje ?! Na nj siri zipi ?!
We huwezi kuelewa,soon utaelewa zitatusaidiaje
Timu za kkoo zote zinamaneno mengi,na nyie mnaojiona mnaweledi ndiyo zero kabisaYanga wana maneno mengi sanA, ila hamna kila kitu.
Duh mkuu una kichwa chenye ubongo? kweli umbumbumbu ni mzigo...yaani badala ya kuweka juhudi ili kushinda mataji ya michuano Afrika wafikirie kuiua yanga?Huyu anaenda kuwa jasusi pale Yanga! Hii ni mbinu ya kuibomoa Yanga! Naiona utopolo fc ikizidi kuyumba ! Trust me! Njia kuu ya kumuua mpinzani ni kuwa na jasusi katika kambi pinzani! Simba sc wamedhamiria kwelikweli kuiua Yanga! Ukibisha uje na facts za kueleweka. SENZO ANAENDA KUWA JASUSI PALE YANGA SC.