Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Jambo zuri hakika ndo ukuaji wa soka bongo. Haya Mambo hata ulaya yapo[emoji1535]
 
Kuna ka ukweli mkuu maana huyo mtu ni professional wa mambo ya utawala kwenye football industry
Proffesional bila pesa utaishia kutimuliwa kwa aibu kama zahera na yule DJ ema boy

Pale hata aje furgerson kuikoch timu alafu zidane awe kocha msaidizi bado majungu hayaepukiki.

Huyu ceo mpya wenu mwaka huu kila step atayo-move kila mtu atakua anamcheki sasa akizingua kidogo tu hata yanga watahisi kua jamaa amekuja kwao kama spy hata kama jamaa kateleza bahati mbaya
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Uwajui wabongo mzee?

Bomu limesikika likilipuka na vilio vya watu walio jeruhiwa, mzungu kakimbia mbali na lile eneo la tukio ili kujiokoa wakati mbongo anakimbilia sauti ya bomu ilikotokea ya ili akashuhudie namna gani limelipuka

Yani morrison kakimbia njaa halafu na wewe unatoka sehemu yenye shibe unaenda huko huko alikokimbia mwenzako?
 
Naona hili pigo limewapata sehemu husika haswaaa maana sasa siri zenu zoote zipo mikononi kwa yanga, mjiandae kwa maumivu
 
Proffesional bila pesa utaishia kutimuliwa kwa aibu kama zahera na yule DJ ema boy

Pale hata aje furgerson kuikoch timu alafu zidane awe kocha msaidizi bado majungu hayaepukiki.

Huyu ceo mpya wenu mwaka huu kila step atayo-move kila mtu atakua anamcheki sasa akizingua kidogo tu hata yanga watahisi kua jamaa amekuja kwao kama spy hata kama jamaa kateleza bahati mbaya
Nakushangaa kidogo, maana huyo senzo amesema kuwa timu ya simba inaendesha mambo yake ki unprofessional zaidi.

Yametawala majungu tu kwenye timu mzima, timu inapangwa na Mwamed anasikilizwa Manara kisa anakujua bagamoyo [emoji16][emoji16]
 
Kinachomfanya shaolin awe anapiga kungfu sio yale magolole ya ki-monk anayo vaa

ukahisi hata wewe ukipewa uvae utakua unapiga kama yeye kuna kitu extra zaidi ya hiyo miguo unayoiona
Pole sana naona maumivu yanazidi
 
FB_IMG_1597007376451.jpg
 
Naona hili pigo limewapata sehemu husika haswaaa maana sasa siri zenu zoote zipo mikononi kwa yanga, mjiandae kwa maumivu

Hamna kitu, hata mkijua siri ya kumkaba chama, mtamuweza ?!
 
Huyu anaenda kuwa jasusi pale Yanga! Hii ni mbinu ya kuibomoa Yanga! Naiona utopolo fc ikizidi kuyumba ! Trust me! Njia kuu ya kumuua mpinzani ni kuwa na jasusi katika kambi pinzani! Simba sc wamedhamiria kwelikweli kuiua Yanga! Ukibisha uje na facts za kueleweka. SENZO ANAENDA KUWA JASUSI PALE YANGA SC.
Duh mkuu una kichwa chenye ubongo? kweli umbumbumbu ni mzigo...yaani badala ya kuweka juhudi ili kushinda mataji ya michuano Afrika wafikirie kuiua yanga?

Mpiraa sio siasa za ccm na upinzani
 
Back
Top Bottom