Senzo Mthethwa yupo hai

Senzo Mthethwa yupo hai

unazngua kwaiyo wewe unatubishia sisi tunaoshi SA we itakuwa untfta views
 
irie lata Tank yuh Yah man Nuh No sah drinkz watta nyam is dis? Kaboom!!
 
Kuishi USA ckujua kila kitu acheni ulimbukeni.Sasa mbna Jana Trump kanitweet na huna Habari na hilo we vp
 
Ndio Huyu aliyeimba hizi nyimbo?
Great conqueror
Irene
tell I the truth
na nyingine!
Nilisikia Huyu Jamaa alikua mpiga kinanda wa luckydube hivi Ni kweli?
Na kwanini nyimbo zake huwa hazipigwi kwenye vipind mbali mbali vya reggae licha ya kuwa Ni ngoma Kali sana?
 
Nimeona kuna uzi unauliza kama Senzo Mthethwa, msanii wa reggae wa Afrika kusini aliyetamba miaka ya 90 kama yu hai ama amefariki. Senzo yupo hai. Naongea hili kwa ujasiri kabisa, kwa kuwa mimi ni mmoja ya watu wanaowasiliana na Senzo mara mojamoja kwa simu.

Ni kwamba, Senzo alikuwa anaumwa sana hali iliyomfanya apoteze sauti alipokwenda Malawi kwenye tour ya music 1999. Licha ya hivyo, ameweka documentary yake youtube kukanusha kwa uzushi uliokuwepo kwamba alipigwa risasi, mara lile, mara hili.

Sasa kuna jamaa kwenye huo uzi uliobandikwa kumuhusu Senzo, anachangia kuwa ameuawa 2015, inaonesha hadi mishipa inamtoka japo simuoni na ananukuu maneno yake kabla ya kuuawa na kuna baadhi ya wavivu wanaamini umbea wake. Maana kama jambo hulijui na unalisema, huo ni umbea. Ni vema jambo kama hulijui, ukae kimya kuliko kupotosha. Na sisi watanzinia ni wavivu mno wa kutafuta ukweli hata kama upo wazi. Narudia, ni wavivu mno hata kwa vitu vilivyowazi

Senzo yupo hai.
 
Back
Top Bottom