Senzo: Soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi mazingira hayakuruhusu kuwa huru 100%

Hivi vilabu viwili siku zote wanataka matokeo mazuri ,usilete uprofeshno wakati unafeli ,watu wanaona wachezaji wabovu ,kocha mbovu lazima upate presha toka nje ,halafu lazima ushiriki kupata matokeo nje ya uwanja siyo kutegemea tu ujuzi wa mwalimu
 
Mimi huwa nabaki nawashangaa watu ninaowaheshimu wanaposhindwa kuelewa vitu vidogo vidogo na kuleta ushabiki wa kitoto. Hapo Senzo amefumba nini hadi ujifanye mweupe kiasi hicho?
"Siku nchi ikitenganisha siasa na michezo, mpira utakwenda mbali sana". Hili ni geni halionekani kwenye soka la nchi hii jinsi wanasiasa wanavyojaribu kuteka soka kwa manufaa yao ya kisiasa? Ni nchi gani uliwahi kusikia kiongozi wa soka wakati wa uchaguzi mkuu wa kisiasa anasimama na kumponda mmoja wa Wagombea kama alivyofanya Karia kwa Tundu Lissu mwaka 2020?
Siku ya Yanga day mgeni rasmi makamu mwenyekiti wa Chama tawala, siku ya Simba day mgeni mashuhuri katibu wa itikadi na uenezi wa Chama tawala na vikorombwezo kibao vya kichama. Badala ya kiendeleza soka viongozi wa soka wanaendeleza itikadi za vyama vya siasa!
Umeilewa kauli ya Senzo Mbatha,,,, maana yake kuna muingiliano wa majukumu ndani ya klabu na watu ambao sio waledi kwenye hayo majukumu
 
Hili suala la muingiliano wa siasa na mpira liko deeper zaidi ya tunavyolijadili humu. Na yuko sahihi, tutakuwa tunaenda kwa kujikongoja saana mpaka tulitatue hilo.
 
Kumbe Senzo kashiriki kwenye mkutano mbona hawa vibaka wake wanalalama kuwa hawajaalikwa? Senzo wakati anaondoka alisema yeye atabaki kuwa mwananchi daima, hivyo madai ya viongozi vilaza wa Yanga kuwa hawajaalikwa hayana msingi,ni upuuzi mtupu.
Senzo aliomba kuwa observe ila utopolo walifikiri ni wakubwa wakasubiri mwaliko
 
Akizungumza Jana kwenye mkutano wa CAF Jijini Arusha, aliyekuwa CEO wa Klabu ya Yanga African Senzo Mbatha, amesema kuwa katika maisha yake ya soka nchini Tanzania, amejifunza kufanya kazi katika mazingira ambayo hayana uhuru kwa asilimia kubwa.

"Kwa soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi kwenye mazingira ambayo hayakuruhusu kuwa huru kwa asilimia 100%".

"Lakini siyo kwa njia mbaya kwasababu vitu vinafanyika kwa namna fulani, kwahivyo unapaswa kujifunza hayo mazingira, ukitaka kuleta kitu ni lazima ujifunze namna ya kufanya hivyo".

"Siku ambayo Tanzania inatenganisha siasa na weledi wa uendeshaji, soka litanyanyuka mara mbili ya hivi sasa". Senzo Mbatha

View attachment 2320951
Angefafanua tu kua Rais wa Yanga alikua akiingilia majukumu ya CEO
 
Huenda yuko sawa ni sio kwa Tanzania tu bali dunia nzima ndio hivyoo

Hatujamalizaaa Hatujamalizaaa, Mlete Mzungu, Mlete Mzunguuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakimbia kuburuzwaa hovyo, hataki kupelekeshwaa.

Kawavua nguo.

Byuti byuti
 
kama alivyomkimbia kolo babra hapo kwa Mwamedi 😂😂😂😂
 
kama alivyomkimbia kolo babra hapo kwa Mwamedi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamkimbia topolo takadini kwa gharib, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂 Dada senzo ndo aliletwa na takadini hapa bongo . kaa ukijua hilo😂😂😂😂
 
Akizungumza Jana kwenye mkutano wa CAF Jijini Arusha, aliyekuwa CEO wa Klabu ya Yanga African Senzo Mbatha, amesema kuwa katika maisha yake ya soka nchini Tanzania, amejifunza kufanya kazi katika mazingira ambayo hayana uhuru kwa asilimia kubwa.

"Kwa soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi kwenye mazingira ambayo hayakuruhusu kuwa huru kwa asilimia 100%".

"Lakini siyo kwa njia mbaya kwasababu vitu vinafanyika kwa namna fulani, kwahivyo unapaswa kujifunza hayo mazingira, ukitaka kuleta kitu ni lazima ujifunze namna ya kufanya hivyo".

"Siku ambayo Tanzania inatenganisha siasa na weledi wa uendeshaji, soka litanyanyuka mara mbili ya hivi sasa". Senzo Mbatha

View attachment 2320951
Kitendo cha yeye kuhama kutoka simba kwenda yanga ni zaidi ya siasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Dada senzo ndo aliletwa na takadini hapa bongo . kaa ukijua hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamkimbia sasa!!!!
 
Mimi huwa nabaki nawashangaa watu ninaowaheshimu wanaposhindwa kuelewa vitu vidogo vidogo na kuleta ushabiki wa kitoto. Hapo Senzo amefumba nini hadi ujifanye mweupe kiasi hicho?
"Siku nchi ikitenganisha siasa na michezo, mpira utakwenda mbali sana". Hili ni geni halionekani kwenye soka la nchi hii jinsi wanasiasa wanavyojaribu kuteka soka kwa manufaa yao ya kisiasa? Ni nchi gani uliwahi kusikia kiongozi wa soka wakati wa uchaguzi mkuu wa kisiasa anasimama na kumponda mmoja wa Wagombea kama alivyofanya Karia kwa Tundu Lissu mwaka 2020?
Siku ya Yanga day mgeni rasmi makamu mwenyekiti wa Chama tawala, siku ya Simba day mgeni mashuhuri katibu wa itikadi na uenezi wa Chama tawala na vikorombwezo kibao vya kichama. Badala ya kiendeleza soka viongozi wa soka wanaendeleza itikadi za vyama vya siasa!
Achana na mjusi wa bluu mkuu
 
Baada ya Wallace Karia, Kibuyu Kingine Kimelia Kwenye Mkutano Wa CAF.

Kwahivyo hapa anatanabaisha kuwa siasa ndo zimemuweka kando, na si zile bhah bhah za matatizo ya kifamilia Afrika Kusini.
Una akili za kigogo sana.
Cc. Ndugai
 
Back
Top Bottom