Last seen inasomeka yanga simba ni mda mrefu sana kaondoka.Makolo yalivyo hayana akili yanatafsiri maneno ya senzo kuwa ni kijembe kwa yanga. Yamesahau kuwa senzo kawahi kuwakimbia na wao [emoji23][emoji23][emoji23]
swala sio kuondoka. Issue inakuja je aliondokaje?ππππLast seen inasomeka yanga simba ni mda mrefu sana kaondoka.
Umeilewa kauli ya Senzo Mbatha,,,, maana yake kuna muingiliano wa majukumu ndani ya klabu na watu ambao sio waledi kwenye hayo majukumuMimi huwa nabaki nawashangaa watu ninaowaheshimu wanaposhindwa kuelewa vitu vidogo vidogo na kuleta ushabiki wa kitoto. Hapo Senzo amefumba nini hadi ujifanye mweupe kiasi hicho?
"Siku nchi ikitenganisha siasa na michezo, mpira utakwenda mbali sana". Hili ni geni halionekani kwenye soka la nchi hii jinsi wanasiasa wanavyojaribu kuteka soka kwa manufaa yao ya kisiasa? Ni nchi gani uliwahi kusikia kiongozi wa soka wakati wa uchaguzi mkuu wa kisiasa anasimama na kumponda mmoja wa Wagombea kama alivyofanya Karia kwa Tundu Lissu mwaka 2020?
Siku ya Yanga day mgeni rasmi makamu mwenyekiti wa Chama tawala, siku ya Simba day mgeni mashuhuri katibu wa itikadi na uenezi wa Chama tawala na vikorombwezo kibao vya kichama. Badala ya kiendeleza soka viongozi wa soka wanaendeleza itikadi za vyama vya siasa!
Senzo aliomba kuwa observe ila utopolo walifikiri ni wakubwa wakasubiri mwalikoKumbe Senzo kashiriki kwenye mkutano mbona hawa vibaka wake wanalalama kuwa hawajaalikwa? Senzo wakati anaondoka alisema yeye atabaki kuwa mwananchi daima, hivyo madai ya viongozi vilaza wa Yanga kuwa hawajaalikwa hayana msingi,ni upuuzi mtupu.
Angefafanua tu kua Rais wa Yanga alikua akiingilia majukumu ya CEOAkizungumza Jana kwenye mkutano wa CAF Jijini Arusha, aliyekuwa CEO wa Klabu ya Yanga African Senzo Mbatha, amesema kuwa katika maisha yake ya soka nchini Tanzania, amejifunza kufanya kazi katika mazingira ambayo hayana uhuru kwa asilimia kubwa.
"Kwa soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi kwenye mazingira ambayo hayakuruhusu kuwa huru kwa asilimia 100%".
"Lakini siyo kwa njia mbaya kwasababu vitu vinafanyika kwa namna fulani, kwahivyo unapaswa kujifunza hayo mazingira, ukitaka kuleta kitu ni lazima ujifunze namna ya kufanya hivyo".
"Siku ambayo Tanzania inatenganisha siasa na weledi wa uendeshaji, soka litanyanyuka mara mbili ya hivi sasa". Senzo Mbatha
View attachment 2320951
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakimbia kuburuzwaa hovyo, hataki kupelekeshwaa.Huenda yuko sawa ni sio kwa Tanzania tu bali dunia nzima ndio hivyoo
Hatujamalizaaa Hatujamalizaaa, Mlete Mzungu, Mlete Mzunguuu!!
kama alivyomkimbia kolo babra hapo kwa Mwamedi ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakimbia kuburuzwaa hovyo, hataki kupelekeshwaa.
Kawavua nguo.
Byuti byuti
Kamkimbia topolo takadini kwa gharib, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama alivyomkimbia kolo babra hapo kwa Mwamedi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ Dada senzo ndo aliletwa na takadini hapa bongo . kaa ukijua hiloππππKamkimbia topolo takadini kwa gharib, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitendo cha yeye kuhama kutoka simba kwenda yanga ni zaidi ya siasa.Akizungumza Jana kwenye mkutano wa CAF Jijini Arusha, aliyekuwa CEO wa Klabu ya Yanga African Senzo Mbatha, amesema kuwa katika maisha yake ya soka nchini Tanzania, amejifunza kufanya kazi katika mazingira ambayo hayana uhuru kwa asilimia kubwa.
"Kwa soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi kwenye mazingira ambayo hayakuruhusu kuwa huru kwa asilimia 100%".
"Lakini siyo kwa njia mbaya kwasababu vitu vinafanyika kwa namna fulani, kwahivyo unapaswa kujifunza hayo mazingira, ukitaka kuleta kitu ni lazima ujifunze namna ya kufanya hivyo".
"Siku ambayo Tanzania inatenganisha siasa na weledi wa uendeshaji, soka litanyanyuka mara mbili ya hivi sasa". Senzo Mbatha
View attachment 2320951
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamkimbia sasa!!!![emoji23][emoji23][emoji23] Dada senzo ndo aliletwa na takadini hapa bongo . kaa ukijua hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na mjusi wa bluu mkuuMimi huwa nabaki nawashangaa watu ninaowaheshimu wanaposhindwa kuelewa vitu vidogo vidogo na kuleta ushabiki wa kitoto. Hapo Senzo amefumba nini hadi ujifanye mweupe kiasi hicho?
"Siku nchi ikitenganisha siasa na michezo, mpira utakwenda mbali sana". Hili ni geni halionekani kwenye soka la nchi hii jinsi wanasiasa wanavyojaribu kuteka soka kwa manufaa yao ya kisiasa? Ni nchi gani uliwahi kusikia kiongozi wa soka wakati wa uchaguzi mkuu wa kisiasa anasimama na kumponda mmoja wa Wagombea kama alivyofanya Karia kwa Tundu Lissu mwaka 2020?
Siku ya Yanga day mgeni rasmi makamu mwenyekiti wa Chama tawala, siku ya Simba day mgeni mashuhuri katibu wa itikadi na uenezi wa Chama tawala na vikorombwezo kibao vya kichama. Badala ya kiendeleza soka viongozi wa soka wanaendeleza itikadi za vyama vya siasa!
Una akili za kigogo sana.Baada ya Wallace Karia, Kibuyu Kingine Kimelia Kwenye Mkutano Wa CAF.
Kwahivyo hapa anatanabaisha kuwa siasa ndo zimemuweka kando, na si zile bhah bhah za matatizo ya kifamilia Afrika Kusini.
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamkimbia sasa!!!!