Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

Moderator waliufuta uzi wangu hapa na

Ukweli ni huu
hapa

kwamba Hussein shabalala ,Jonasi mkude, na Aish manula walikula mburungutu wa pesa kama M1.7 wakahusika kuihujumu timu katika zile mechi mbili . kikao Cha menejiment ya Club kilipokaa kutafuta mchawi nani wakakamata mawasiliano ya kwenye Laptop kati ya senzo na Mkurugenzi wa Simba Hashimu mbaga, ikionyesha chatting za WhatsApp kuhusu ile mechi ya Simba na Tz prison . na kuna watu teyari walishaingiziwa pesa kwenye account zao kwa ajili ya kufanya hujuma hizo wakiwemo
Ally Shantry ‘Bob Chico’ Jacob Gamaly pamoja na meneja wa timu Patrick Rweyemamu na kocha wa makipa, Mharami ‘Shilton’ Mohammed.
Ni chein yenye mzunguko mkubwa mpaka sasa hivi Hashimu mbaga anashikiliwa kituo Cha polisi Osterbay

hizi ndizo sababu zilizofanya Uongozi wa kikosi Cha Simba kubadilika mara moja.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Senzo atajiju aliondoka na laptop yenye dokumenti za simba akapeleka upande wa pili akajiona mjanja sasa hivi atajua kuwa wale viongozi wa simba wanaoshikwa huwa si kwa bahati mbaya kwani simba ni zaidi ya mafia na akisalimika cv yake ya soka itakuwa ishaharibika
 
Mdosi wenu alifanya hivyo karibu mechi zote za Yanga ya Zahera ,na tulinyamaza.O bey hakuna kitu mtapata .
 
Moderator waliufuta uzi wangu hapa na

Ukweli ni huu
hapa

kwamba Hussein shabalala ,Jonasi mkude, na Aish manula walikula mburungutu wa pesa kama M1.7 wakahusika kuihujumu timu katika zile mechi mbili . kikao Cha menejiment ya Club kilipokaa kutafuta mchawi nani wakakamata mawasiliano ya kwenye Laptop kati ya senzo na Mkurugenzi wa Simba Hashimu mbaga, ikionyesha chatting za WhatsApp kuhusu ile mechi ya Simba na Tz prison . na kuna watu teyari walishaingiziwa pesa kwenye account zao kwa ajili ya kufanya hujuma hizo wakiwemo
Ally Shantry ‘Bob Chico’ Jacob Gamaly pamoja na meneja wa timu Patrick Rweyemamu na kocha wa makipa, Mharami ‘Shilton’ Mohammed.
Ni chein yenye mzunguko mkubwa mpaka sasa hivi Hashimu mbaga anashikiliwa kituo Cha polisi Osterbay

hizi ndizo sababu zilizofanya Uongozi wa kikosi Cha Simba kubadilika mara moja.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sitaki kuamini habari za kijinga namna hii.
Yaani karibu timu nzima ya Simba inatajwa kuihujumu timu ya simba!!

Sasa mantiki ya kuihujumu iwe nini?
Yaani Simba ikifungwa na kupwaya kisoka wao watapata faida gani wakati wao wameajiriwa na kulipwa na Simba?
 
Moderator waliufuta uzi wangu hapa na

Ukweli ni huu
hapa

kwamba Hussein shabalala ,Jonasi mkude, na Aish manula walikula mburungutu wa pesa kama M1.7 wakahusika kuihujumu timu katika zile mechi mbili . kikao Cha menejiment ya Club kilipokaa kutafuta mchawi nani wakakamata mawasiliano ya kwenye Laptop kati ya senzo na Mkurugenzi wa Simba Hashimu mbaga, ikionyesha chatting za WhatsApp kuhusu ile mechi ya Simba na Tz prison . na kuna watu teyari walishaingiziwa pesa kwenye account zao kwa ajili ya kufanya hujuma hizo wakiwemo
Ally Shantry ‘Bob Chico’ Jacob Gamaly pamoja na meneja wa timu Patrick Rweyemamu na kocha wa makipa, Mharami ‘Shilton’ Mohammed.
Ni chein yenye mzunguko mkubwa mpaka sasa hivi Hashimu mbaga anashikiliwa kituo Cha polisi Osterbay

hizi ndizo sababu zilizofanya Uongozi wa kikosi Cha Simba kubadilika mara moja.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Weka ushahidi hapa tuamini
 
Senzo atajiju aliondoka na laptop yenye dokumenti za simba akapeleka upande wa pili akajiona mjanja sasa hivi atajua kuwa wale viongozi wa simba wanaoshikwa huwa si kwa bahati mbaya kwani simba ni zaidi ya mafia na akisalimika cv yake ya soka itakuwa ishaharibika
Ulimwona akiondoka nayo?
 
Mimi nimewahi kuwa karibu na hizi klabu za Simba na Yanga hususani kwenye mambo ya uongozi, kikubwa nilichokigundua ni kuwa, Viongozi wa hizo klabu wengi wapo pale kwa faida binafsi, sasa klabu ikiyumba kisoka wanatafuta sababu ya kumtwisha lawama mtu au wachezaji fulani ili kukwepa Zengwe lisiwaguse viongozi.

Kwa mfano hili la Simba sasa, viongozi walitumia pesa nyingi kufanya usajili (na sote tunajua usajili ndio mahali pa viongozi kuvuna pesa za klabu kirahisi, wanaojua huu mchezo wananielewa......), sasa kwa bahati mbaya mwenendo wa Simba kwenye ligi umeanza kwa kusuasua kuliko walivyowaaminisha mashabiki wao kabla ya msimu kuanza, hivyo kilichokuwa kinafuata ni viongozi kufukuzwa, na viongozi wanatafuta angle ya kuhamisha mjadala wa Zengwe la wao kutimuliwa.
 
Back
Top Bottom