Moderator waliufuta uzi wangu hapa na
Ukweli ni huu
hapa
kwamba Hussein shabalala ,Jonasi mkude, na Aish manula walikula mburungutu wa pesa kama M1.7 wakahusika kuihujumu timu katika zile mechi mbili . kikao Cha menejiment ya Club kilipokaa kutafuta mchawi nani wakakamata mawasiliano ya kwenye Laptop kati ya senzo na Mkurugenzi wa Simba Hashimu mbaga, ikionyesha chatting za WhatsApp kuhusu ile mechi ya Simba na Tz prison . na kuna watu teyari walishaingiziwa pesa kwenye account zao kwa ajili ya kufanya hujuma hizo wakiwemo
Ally Shantry ‘Bob Chico’ Jacob Gamaly pamoja na meneja wa timu Patrick Rweyemamu na kocha wa makipa, Mharami ‘Shilton’ Mohammed.
Ni chein yenye mzunguko mkubwa mpaka sasa hivi Hashimu mbaga anashikiliwa kituo Cha polisi Osterbay
hizi ndizo sababu zilizofanya Uongozi wa kikosi Cha Simba kubadilika mara moja.
Sent from my Infinix X680 using
JamiiForums mobile app