Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

Watu wote hao ni m1.7 au au M 17
 
Hujuma ipo lakini sio hii uliyoieleza wachezaji urliwataja kila mmoja anapokea m7 mshahara sio rahisi kulanguliwa kwa m1.7
 
Nimesoma vibaya ama ndivyo ilivyoandikwa! "Mburungutu wa pesa, halafu ni M1.7"!!! Yaan milioni moja na laki saba!??? Tena umewataja wachezaji 3 hapo!! Seriously?
 
Mdosi wenu alifanya hivyo karibu mechi zote za Yanga ya Zahera ,na tulinyamaza.O bey hakuna kitu mtapata .
Kama kweli alifanya hivyo mlipaswa kumchukulia hatua za kisheria
 
Yaani mchezaji wa kulipwa anauza mechi kwa laki 5.5?
 
Duh..bro you know nothing ...eti hongo Ili wahujumu timu..!? Kuna ushahidi wa miamala ya hizo hongo!?
 
Simba ni nani asifungwe! hawa viongozi wasiyojua mpira ndiyo wanaochafua taswira ya soka letu, Senzo mtu mkubwa sana Afrika, kachafuliwa na ligi yetu imechafuliwa kwa match fixing kutokana na viongozi wachache wa simba wasiokuwa na weledi wa football.
 
wewe unaijua football?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…