Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

Kwasasa viongozi wa Simba wanahangaika na kuwatuhumu wachezaji na baadhi ya wasimamizi wa timu Ila muda si mrefu watakuja kuumbuka na kukosa mtu wa kumrushia visingizio na itawapasa wao wenyewe kuwajibika au kuwajibishwa na wanachama.
bongo wanasingizia kuhujumiwa nk...tusubiri ligi ya mabingwa kama watapata wa kumsingizia, maana nnavyoiona ile Simba hata roundi hii ya kwanza haivuki yan
 
Pumba,kwani John Bocco alipokosa penalty mechi na Ruvu ni sababu ya Senzo?
 
Wamesema kuna chatting wameziona, wewe unaleta historia yako ya kwenye hizo timu, hiyo historia yako haijibu current question, wacha mamlaka zinazohusika ziamue.
Haya zimehusika enhee kimetokea nini?

'SENZO MTU MAKINI" Ametoka kituo cha polisi akiwa na tabasamu' hahahaaa mikia bana! viongozi wenu kutwa kufukuzana,kusema wachezai,kutukana waandishi.
 
Mudi kawashika akili watumwa wake....
 
Labda kwenye masuala mabaya ya hela.lakini sio hizo hujuma za Simba na yanga kuhusu usajili umpeleke mtu polisi
 
Akili ya mbumbumbu.
 
Hahahahahaha....

Kuna mambo huwa yanatokea Tanzania tu
 
Haya zimehusika enhee kimetokea nini?

'SENZO MTU MAKINI" Ametoka kituo cha polisi akiwa na tabasamu' hahahaaa mikia bana! viongozi wenu kutwa kufukuzana,kusema wachezai,kutukana waandishi.
Kumbe ulijua atatoka kituoni analia?!

Wewe kandambili kweli.
 
masuala ya kupanga matokeo na rushwa ni kosa la jinai
tff ilipo weka hadi viporo 10 ilikuwa inapanga nini mbona hamkusema iyo jinai

morison kupewa zile dola na kucheza chini ya kiwango mlikuwa mnapanga nini

acheni ubabaishaji
 
tff ilipo weka hadi viporo 10 ilikuwa inapanga nini mbona hamkusema iyo jinai

morison kupewa zile dola na kucheza chini ya kiwango mlikuwa mnapanga nini

acheni ubabaishaji
Hawawezi kukuelewa mkuu
 
Kwenye mpira kuna jinai?.
Ebu wampeleke mahakamani tuone.
Hayo Mambo ya kuhujumu timu hayakuanza Leo Wala Jana.
Mambo ya Mpira sionya kupelekana polisi.
Naona moo Kama anaishiwa pumzi.
Moo acheze mpira aache drama.
Acha ushabiki malinzi,mwesigwa,aden rage wote walinyea debe jela kisa mpira,match fixing ni kosa kisheria ni rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…