Niche ya website ni ipi mzee.
Mchawi wa SEO ni backlinks tena links toka kwenye blog zinazoendana na contents site yako.
Kwa kuwa umesema bajeti yako ndogo kuna mbinu za halali zinaweza kuipa website trafficks bila kuwa na backlinks.
Unachopaswa kufanya, unaandika contents zinazolenga keyword zenye search volume ya zero na zenye ushindani mdogo.
Zile keyword research tools huwa zina shida na hazionyeshi data sahihi, nyingi zinakadiria.
Zero-search pia kuna watu huwa wanazi-search.
Na hizi huwa ni rahisi kutokea kwenye page ya kwanza ya google.
Binafsi ndio mbinu ninayoitumia kwa sasa, watembeleaji wa tovuti yangu 97% ni organic visitors.
Changamoto ya hii njia inachukua sio chini ya miezi kuanza kupata watembeleaji.
Inahitaji contents nyingi mpaka posts 100 za niche moja ndani ya miezi mitatu.
Ukiwa mvivu kuandika kama mimi utakuwa unapata watu wachache vinginevyo ajili waandishi.
View attachment 1783559
Hizi ni takwimu za posts 18 nataka nifikishe posts 100 ndani ya huu mwezi ili nipate clicks 2000/siku toka google.