SEO expert anahitajika

SEO expert anahitajika

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Habari Wataalamu.

Kuna website yangu ambayo iko kwa developer na muda wowote atanikabidhi kazi baada ya kumaliza upade wake.

Sasa ninafikiria kupata expert tofauti ili anifanyie SEO na kuhakikisha website iko sawa. Mu huyu atatusaidia kuona website kama iko sawa na kuhakikisha inaingiza traffic wa kutosha.
Kwakuwa sisi ni wadogo na kwamba ndio tunaanza, bajeti yetu sio kubwa sana.

Kwa mwenye uwezo mzuri wa kazi hii basi awasiliane nasi.

Ahsante
 
Niche ya website ni ipi mzee.
Mchawi wa SEO ni backlinks tena links toka kwenye blog zinazoendana na contents site yako.

Kwa kuwa umesema bajeti yako ndogo kuna mbinu za halali zinaweza kuipa website trafficks bila kuwa na backlinks.

Unachopaswa kufanya, unaandika contents zinazolenga keyword zenye search volume ya zero na zenye ushindani mdogo.

Zile keyword research tools huwa zina shida na hazionyeshi data sahihi, nyingi zinakadiria.

Zero-search pia kuna watu huwa wanazi-search.

Na hizi huwa ni rahisi kutokea kwenye page ya kwanza ya google.
Binafsi ndio mbinu ninayoitumia kwa sasa, watembeleaji wa tovuti yangu 97% ni organic visitors.

Changamoto ya hii njia inachukua sio chini ya miezi kuanza kupata watembeleaji.

Inahitaji contents nyingi mpaka posts 100 za niche moja ndani ya miezi mitatu.

Ukiwa mvivu kuandika kama mimi utakuwa unapata watu wachache vinginevyo ajili waandishi.
1620922720352.png

Hizi ni takwimu za posts 18 nataka nifikishe posts 100 ndani ya huu mwezi ili nipate clicks 2000/siku toka google.
 
Ninafanya SEO kama site framework ni wordpress
0767659145, 0620246040
 
View attachment 1783559
Hizi ni takwimu za posts 18 nataka nifikishe posts 100 ndani ya huu mwezi ili nipate clicks 2000/siku toka google.
Ahsante sana kwa ushauri, najaribu kutumia kila njia inayoweza kusaidia kuhakikisha website yangu inatokea juu kwenye maene ya operations zangu. Ushauri wako nitaufanyia kazi pia
 
Kuwa na organic traffic kwa mwanzo unstakiwa kilink site na washindani wa hiyo site yako ili kirelate huduma unotoa ,Mfano kama una site inayohusika na blog ,mtu anayekufanyia seo inatakiwa aihusishe hiyo blog yako na washindani wa aina yako ya blog.Kwa kufanya hivyo site yako itatrend google na kwenye search engines zingine.Sisi kama pawahost. co .tz tunahuduma hiyo pia na bei zetu ni nafuu sana ,Tucheki 0687535650 ,info@pawahost.co.tz
 
Back
Top Bottom