Ushauri alioomba ni uhalali wa kisheria na kimaadili wa kuanza mahusiano mapya; kudos kwa wote waliompa mitazamo yao bila kufuata curiosities za kujua what real happened.
Kaunga hata kama angeenda kwa mwanasheria yoyote kuomba ushauri lazima angeulizwa kwanini anataka kumwacha mume wake na kuanza mahusiano mapya. Najua kuna watu wanakuja na specific question kuomba ushauri but when you question them unakuta tatizo ni kubwa zaidi ya walivyokuwa wanafikiria. Unakuta they didn't even consider implications for the decision they were about to take.
Nakupa mfano. Unakuta mtu amekuja kuomba ushauri kuuza nyumba yake ili amlipe creditor deni lake. Kwa mshauri mzuri utataka kujua ni kwa nini anashisndwa kulipa deni mpaka afikie uamuzi wa kuuza nyumba yake (residential home)? Atakuzugazuga but when you look at him/her unaona kabisa, there is something more s/he doesn't want to tell you. So, using your interviewing and listening skills anaamua kukuambia kila kitu. Anakuambia amefukuzwa kazi or s/he has been made redundant so hana jinsi ya kulipa. Uki-dig in zaidi unakuta tena alifukuzwa kazi kinyume na sheria and s/he has compensation claim for unfair/wrongful dismissal. Au unakuta s/he was made redundant bila kupewa redundancy pay, which s/he is entitled.
Ukipiga marehebu ya hiyo compensation/redundancy pay kama akiipata inatosha kabisa kulipa deni na kubakia na change nyingi tuu na pia kubakia na nyumba yake. Lakini wala alikuwa hajui hilo. Now from there you will be in a better position ku-negotiate the creditor kuwa ana kesi na mwajiri wake na chances za kushinda ni 95% in which s/he will get all the money and pay them.
Inapokuja kwenye suala la divorce and starting new relationship, there are even serious implications. Ninachojaribu kusema ni kwamba kuna issues nyingine mwenye tatizo anaweza kuziona ni ndogo sana lakini implications zake ni kubwa. Kuna issues nyingine unakuta wala alikuwa hajui kabisa if they can happen.
Always make an informed decision. You will never regret it. Never make decisions emotionally. You will regret it later. Think with your brain, not your heart. Reason with your mind, not your heart, every decision you make. Ngumu sana kwa wanawake, but try it.
Kuna wengine tunamwuliza maswali mleta mada utadhani we don't sympathize with what might have happened to her. That is not the case. Tunajaribu kuona kama amelifikiria hili suala kwa mapana zaidi. Jana nilikuwa namsikiliza Kibonde Mkasi TV anasema: Kama unapata positive feedback kila wakati, then you are not doing it right. Kama unapata negative feedback kila wakati, you are not doing it right either. Lakini kama unapata both positive and negative feedback, then you are doing it right. Ni hivyo hivyo, alivyosema
Edson: hapa JF ukitegemea maoni in one dimension utapata in three dimensions. Nafikiri hili ni zuri kwa sababu inakusaidia kutokuwa narrow minded na ku-assess the situation in every angle.
So
EMT umeshawasiliana na Erotica kuhusu trial session this weekend!
Anayetakiwa ku-consent kuwa na trial na mie ni yeye au mie? BTW kwenye hii trial, are you thinking with your brain or your mind?