Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

duh na USA wamekomalia watatumia watu wao kumchunguza naona mpaka atoke damu uyu mzee
 

mkuu toka nmesoma komenti zoote humu...wewe ndo umeongea kitu tofauti na point pia....Ishue mapato fifa ndo chanzo kikubwa cha ulaya kumchukia blatter, hasa kusaidia africa na asua...ishue ya rushwa ni geresha tu
wengi humu wanabwabwaja kisiasa tuu..
 

KIjana sikusomi?
au unamihemko ya kujibu tu kila post?
nani kapinga blater kuibeba africa?
wacha porojo na mkihemko, soma kwnaza ndio ujibu au upost.
 
mkuu toka nmesoma komenti zoote humu...wewe ndo umeongea kitu tofauti na point pia....Ishue mapato fifa ndo chanzo kikubwa cha ulaya kumchukia blatter, hasa kusaidia africa na asua...ishue ya rushwa ni geresha tu
wengi humu wanabwabwaja kisiasa tuu..

mapato gani ya FIFA /
Issue kubw ani UK kukosa World Cup ya Qartar na hapo ndipo balaa lilipoa anzia iliwauma sana hiyo kitu,
pamoja na Austarlia kukosa World Cup iliyochukuliwa na RUSSIA, pia naa walilalamika sana.
 
Jamani subirini. Hamjui sababu za Blatter kuzibeba nchi masikini zilizotanguliza matumbo kuliko kuukuza mchezo wetu pendwa. Kuna watu hawakurupuki na nchi za Afrika ndizo zitalia sana kwa sababu tu ya ulafi wao kupitia Blatter. Nyie subirini, kuna watu duniani hawakurupuki na hawana haraka, ukiona wanamwandama mtu kama Blatter, kuna jambo.

Wameanza na matawi, kitakachofuatia ni mizizi hata kama inachukua miezi. Kuna tetesi kwamba kaoneshwa tu kakurasa kamoja kwenye daftari lake akainua mikono na kusalimu amri. Kitakachommaliza kipo jikoni kinachemka, nadhani alisahau usemi kwamba kikulacho kiko nguoni mwako...dossier karibu limejaa, ni swala na muda tu tuvute subira!
 

Wacha porojo wewe unaongea huna facts unabwabwaja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…