Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

duh na USA wamekomalia watatumia watu wao kumchunguza naona mpaka atoke damu uyu mzee
 
amefanya makubwa hasa ile GOAL PROJECT. wazungu waone kama walivyo wao wanaona kama mpira ni wao hasa kunufaika na mapato.Uingereza anapigania qatar anyanganywe kuandaa mashindano apewe yeye wakati hata viwanja vinavyoweza kujaza watu zaidi ya 50,000 hana vingi. wasasema qatar anapewaje kuandaa mashindano wakati mpira kwao haupo? lakini watu wakauliza marekani alipopewa alikuwa na mpirta upi?

mkuu toka nmesoma komenti zoote humu...wewe ndo umeongea kitu tofauti na point pia....Ishue mapato fifa ndo chanzo kikubwa cha ulaya kumchukia blatter, hasa kusaidia africa na asua...ishue ya rushwa ni geresha tu
wengi humu wanabwabwaja kisiasa tuu..
 
mbona mpaka leo tunapeleka timu 5 tu WC na makelele yote hayo tulokua tunapiga?..iyo bagaining power unayosema iko wapi?.....blatter ana mapunguf yakee skatai but kitu kimoja ambacho kina platin hawakumpenda ni kwamba,he stand for Africa in many aspects...mojawapo ni kuleta WC africa...Platin na uk hawakupend kabisaa..
izo rushwa ni geresha tuu.. Ila siri wanaijua wao.

KIjana sikusomi?
au unamihemko ya kujibu tu kila post?
nani kapinga blater kuibeba africa?
wacha porojo na mkihemko, soma kwnaza ndio ujibu au upost.
 
mkuu toka nmesoma komenti zoote humu...wewe ndo umeongea kitu tofauti na point pia....Ishue mapato fifa ndo chanzo kikubwa cha ulaya kumchukia blatter, hasa kusaidia africa na asua...ishue ya rushwa ni geresha tu
wengi humu wanabwabwaja kisiasa tuu..

mapato gani ya FIFA /
Issue kubw ani UK kukosa World Cup ya Qartar na hapo ndipo balaa lilipoa anzia iliwauma sana hiyo kitu,
pamoja na Austarlia kukosa World Cup iliyochukuliwa na RUSSIA, pia naa walilalamika sana.
 
Jamani subirini. Hamjui sababu za Blatter kuzibeba nchi masikini zilizotanguliza matumbo kuliko kuukuza mchezo wetu pendwa. Kuna watu hawakurupuki na nchi za Afrika ndizo zitalia sana kwa sababu tu ya ulafi wao kupitia Blatter. Nyie subirini, kuna watu duniani hawakurupuki na hawana haraka, ukiona wanamwandama mtu kama Blatter, kuna jambo.

Wameanza na matawi, kitakachofuatia ni mizizi hata kama inachukua miezi. Kuna tetesi kwamba kaoneshwa tu kakurasa kamoja kwenye daftari lake akainua mikono na kusalimu amri. Kitakachommaliza kipo jikoni kinachemka, nadhani alisahau usemi kwamba kikulacho kiko nguoni mwako...dossier karibu limejaa, ni swala na muda tu tuvute subira!
 
So stupid of you!.....America has no business in football ,they can barely kick a football...they even have some silly name for it(soccer).
This was a war on Russia(2018 world cup) by the AXIS OF EVIL.....and the entire planet knows
I am glad China too will soon give your evil axis some taste of your own medicine.
Africa has lost but we at least know who is the bigger evil btwn the two devils.

Wacha porojo wewe unaongea huna facts unabwabwaja tu.
 
Back
Top Bottom