Tayari ana kura za ulaya na marekani,tatizo ni Asia,Africa na south AmericaPlatiin awezi shinda Unless ifanyike reform ya Uzito wa Kura, Africa na Asia ina Kura nyingi na hawa ndio vipenzi wa Blater so kwa vyovyote watamuweka Mtu wao atakaye linda maslahi ya Africa na Asia.
Ndiyo mjue Wazungu wabaguzi, Nia ilikuwepo, lakini kwa kuwa mwarabu tuu Ndiye ilijitokeza Mara ya kwanza, ikabidi asimame , sasa utawaona Wazungu Kibao wanatokezaHabari zathibitisha Sepp Blatter Kachia Ngazi Kwa tuhuma za rushwa. Lini viongozi wetu wataiga Hii Mifano
Technically hajajiuzulu, according to Madrid based AS
"FIFA President Blatter today announced at a
press conference in Zurich that he will lay down
his mandate at an extraordinary elective
Congress. Until that election, he continues to
carry out his functions. The FIFA President also
announced a significant reform programme to
be driven by Domenico Scala, the Independent
Chairman of our Audit and Compliance
Committee. "
Blatter ndo alipendwa na South america,Africa na Asia,sijui ndo sababu ya hizo hizo Rushwa?huyo prince kama ana akili nzuri asigombee tena maana atapatya kura za ajabu. ajue tena wale waliompigia blatter kura hawawezi kumpigia kura. Kura nyingi zinatoka africa, asia na amerika kusini na bara la oceania. Ni lazima mgombea akubalike hapo otherwise hawezi shinda uraisi.
Blatter ndo alipendwa na South america,Africa na Asia,sijui ndo sababu ya hizo hizo Rushwa?
USA wakishikilia kitu ni noma.
usa baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Kuandaa kombe la dunia ishakuwa biashara,ila MEANDU kule Qatar na lile joto watachezaje?ila Qatar walitoa Hongo subiri tu utaona kila kitu kitajulikana.amefanya makubwa hasa ile GOAL PROJECT. wazungu waone kama walivyo wao wanaona kama mpira ni wao hasa kunufaika na mapato.Uingereza anapigania qatar anyanganywe kuandaa mashindano apewe yeye wakati hata viwanja vinavyoweza kujaza watu zaidi ya 50,000 hana vingi. wasasema qatar anapewaje kuandaa mashindano wakati mpira kwao haupo? lakini watu wakauliza marekani alipopewa alikuwa na mpira upi?
Issue ya CONCAF imemuondoa.Prince Ali indicated anaweza kugombea tena, kama atahitajika.
FEDS wakifukunyua wakaona kuwa Russia nae alikata kupewa ya 2018 si itakuwa balaa?.Nah wala sidhani kama ni hivyo bana.
Mbona Winter Olympics Russia wame host kama kawaida tu.
FIFA ufisafi umeshamiri sana chini ya Blatter.
Hivi hukushangaa wala kujiuliza kwa nini vyama vya soka Afrika vyote vilikuwa nyuma ya Blatter?
Na Afrika Kusini tayari washakiri kuwa walitoa dola milioni 10 kuhusu kombe la dunia 2010.
FEDS wakifukunyua wakaona kuwa Russia nae alikata kupewa ya 2018 si itakuwa balaa?.
Kuandaa kombe la dunia ishakuwa biashara,ila MEANDU kule Qatar na lile joto watachezaje?ila Qatar walitoa Hongo subiri tu utaona kila kitu kitajulikana.
Baada ya kuachia ngazi ni mahakamani siyo iwe kama serikali ya jk wa...
.