Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

Mie ningependa kuona wahusika wote wanaadabishwa ipasavyo ikiwemo Blatter kama alihusika katika kupokea rushwa, ila sitapenda kuona FIFA inasambaratika na hivyo mfumo wa kombe la dunia kubadilika.

Unajua nini BAK, kwa jinsi ninavyoichukia rushwa, ikitokea hiyo; ni bora tu FIFA isabaratike waunde chombo kingine aisee!.
 
BBC wanasema kwamba bado ataendelea kudunda tu, huku akiiba vizuri mpaka at least end of December 2015, latest ikiwa March 2016. So, bado FIFA wanae tu.
 
Akiwa na defence lawyer mzuri anaweza asiende Lupango.

Mkuu usiwe na wasiwasi wanaofuatilia hii kesi ni FBI, anakwenda jela apende asipende, when FBI set their sight on you with evidence you are gone. Time will tell FBI are very strong and behind them the resources required to do the job. Mark my words. Natumaini unaona jinsi FBI wanavyofanya kazi zao kuna series zile za FBI files kama unazikodolea.





FBI huwa hawakurupuki.

BTW kuna very good news, UK pamoja na USA wameamua makampuni yote yanayokwepa kodi Africa watayashughulikia. Na njia za mpunga wa wizi si zinapita kwenye bank zao patamu hapo ..... ....... .
 
Reactions: BAK
''[h=3]WORLD CUP ORGANISER FACES £100MILLION MONEY LAUNDERING CHARGE[/h]A former president of the Brazilian soccer federation is facing charges of money laundering after it was found nearly £100million had passed through his bank account ahead of last year's World Cup.
Ricardo Teixeira, a long-time powerful figure within football's world governing body FIFA, resigned from the CBF and as head of Brazil's 2014 World Cup organising committee in March 2012.
His two-decade-long spell in charge of Brazilian football was dogged by controversy and allegations of corruption, although Teixeira was never charged with any wrongdoing.
Last night, Brazil's Federal Police issued an arrest warrant for the 67-year-old, who no longer lives in the country, after a two year investigation into his global business dealings, according to reports.
While the charges are not part of the corruption scandal engulfing world football, the information collected by Brazilian federal investigators will be of interest to the FBI probe which led to the arrest in Switzerland of seven senior FIFA officials last week.

Warrant for his arrest: The former head of the Brazilian soccer federation Ricardo Teixeira (pictured with disgraced FIFA president Sepp Blatter in 2006) is facing charges of money laundering after it was found nearly £100million had passed through his bank account ahead of last year's World Cup

Teixeira's successor as president of the CBF federation, José Maria Marin, was arrested on Wednesday by Swiss police along with six other FIFA executives on indictments for corruption brought by U.S. authorities.
As well as money laundering, Teixeira was also facing charges of tax evasion, forgery and falsifying public documents.
Barcelona football club's ex-president, Sandro Rosell, a long time friend and associate of Teixeira, was also indicted for the crimes of falsifying public documents and concealment of information.
In a Federal Police report obtained by Brazil's news magazine Epoca, detectives found that Teixeira kept money in numerous bank accounts in foreign tax havens such as Monaco.
The report claims that the money handled by Teixeira, as well as his other millionaire properties in Brazil and abroad, 'do not match the wages he received as president of the CBF'.
It also alleges that Teixeira does not declare money kept in foreign bank accounts, feigned the purchase of shares using the name of a firm to 'move high amounts of money' and made 'real estate transactions as a facade' to hide money laundering operations.
Investigators found that, in 2009, while in charge of Brazil's World Cup preparations, he transferred £150,000 to buy a luxury apartment in Rio de Janeiro's Barra da Tijuca neighbourhood, whose actual market value was around more than £800,000.
It was found that the man who sold the property to Teixeira for a fraction of the price was businessman Claudio Abrahao, whose tourism firm, Grupo Aguia, was a supplier to the CBF.
Teixeira, the former son-in-law of long-time FIFA boss, Joao Havelange, was not available for comment.''

Patamu hapo!
 
So far Blatter hajahusishwa moja kwa moja na tuhuma zozote za scandal inayoendelea.

"The FBI and U.S. prosecutors were investigating
Sepp Blatter, the FIFA president who announced
his resignation on Tuesday, as part of the probe
that led to last week's stunning indictments,
sources familiar with the case told ABC News.

The FBI declined to comment because Blatter
has not been publicly identified as a target of
the investigation."
 
Blatter toka mwaka 1976 yupo Fifa aisee!!

mi nimeanza kufatilia mpira since1998 ninamjua yy yani mpk juzi nilishangaa anavyokomaa
nkajua kweli madaraka matami
 
Hata Qatar 2022, lakini hili likitokea basi kunaweza kukatokea mtafaruku mkubwa ambao unaweza kabisa kuisambaratisha FIFA na kubadili kabisa mfumo wa mashindano ya kombe la dunia kama tuujuavyo, naomba hilo lisitokee kabisa.

USA wakomeshe rushwa ila kuwapokonya Russia na Qatar uenyeji italeta mgawanyiko mbaya sana.
 
Mkuu Wacha1, niliyekuwa namzungumzia hapo juu kesi yake ni tofauti haihusiani na hii ya wala rushwa ndani ya FIFA. Huyu ninayemzungumzia ni Republican aliwahi kuwa Spika wa Congress USA enzi za Bill Clinton.

Fellow Congressman Was Told About Dennis Hastert Abuses, Source Says

 
Blatter won't be indicted. He made a deal to run for President to stop 'an Arab' from taking the office, and then step down. Now he's setting the environment for whoever the Westerners are prepairing. It's all part of the game. Just watch it.
 
Ndilo hilo la kuwapokonya Russia na Qatar uenyeji wao wa 2018 & 2022 ninalolihofia. Wawaadhibu wapokea rushwa wote na wainusuru FIFA kwa kutotengua maamuzi ya nyuma hata kama rushwa ilihusika katika kuwapatia wenyeji wa WC Russia na Qatar.

USA wakomeshe rushwa ila kuwapokonya Russia na Qatar uenyeji italeta mgawanyiko mbaya sana.
 
Ndilo hilo la kuwapokonya Russia na Qatar uenyeji wao wa 2018 & 2022 ninalolihofia. Wawaadhibu wapokea rushwa wote na wainusuru FIFA kwa kutotengua maamuzi ya nyuma hata kama rushwa ilihusika katika kuwapatia wenyeji wa WC Russia na Qatar.

Mimi sidhani kama Russia inaweza kupokonywa unless labda ushiriki wake katika rushwa ni mkubwa kupindukia.

I mean, ni nani mwingine anayeweza ku host kombe la dunia on short notice zaidi ya Marekani na Uingereza?

Haitaleta picha nzuri duniani kwa Wamarekani kuongoza huu uchunguzi halafu na kuipokonya Russia hiyo fursa na kuyaleta hayo mashindano Marekani. Haitapendeza kabisa.

Ujenzi wa miundomsingi ya Russia 2018 ishaanza na muda uliobaki ni mchache mno.

Maybe Qatar anaweza kupokonywa lakini si Russia aisee.
 
humu kuna watu porojo tuu huyu blater kaachia ngazi na haja achishwa kaachia baada ya kuona kilele zimekua nyingi na alitaka kuwaonyesha kua bado yee ana nguvu na bado watu wanampenda ndioa alisubiri achaguliwe na ndio afanye maamuzi ya kuachia ngazi south america wako pamoja nae asia na africa pia wako pamoja nae isipokua europ na usa
mmarekani kila pahali anataka ajionyeshe awafanye watu anavyotaka yeye na hii soccer linaenda pabaya mtakuja kuona siku zijazo siasa na michezo ni vitu 2 tofauti usa yuko kisiasa zaidi katika hii kitu ila wengi hilo hawalioni wanaona hiyo rushwa tuu
 
yule aliyesema hataki masheikh wala maparoko sijui ana hali gani sasahivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…