Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 647
kwa hiyo emirates stadium inamilikiwa na council?
Unaniuliza au unaniambia?kama unauliza basi wamiliki ni Arsenal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo emirates stadium inamilikiwa na council?
Jamaa jinga kweli hilo aisee. Yaani spika mzima unafanya ujinga kama huo?
Acha akanyee debe.
Unajua nini BAK, kwa jinsi ninavyoichukia rushwa, ikitokea hiyo; ni bora tu FIFA isabaratike waunde chombo kingine aisee!.
Akiwa na defence lawyer mzuri anaweza asiende Lupango.
kisa........?
Blatter toka mwaka 1976 yupo Fifa aisee!!
Hata Qatar 2022, lakini hili likitokea basi kunaweza kukatokea mtafaruku mkubwa ambao unaweza kabisa kuisambaratisha FIFA na kubadili kabisa mfumo wa mashindano ya kombe la dunia kama tuujuavyo, naomba hilo lisitokee kabisa.
Mkuu usiwe na wasiwasi wanaofuatilia hii kesi ni FBI, anakwenda jela apende asipende, when FBI set their sight on you with evidence you are gone. Time will tell FBI are very strong and behind them the resources required to do the job. Mark my words. Natumaini unaona jinsi FBI wanavyofanya kazi zao kuna series zile za FBI files kama unazikodolea.
![]()
FBI huwa hawakurupuki.
BTW kuna very good news, UK pamoja na USA wameamua makampuni yote yanayokwepa kodi Africa watayashughulikia. Na njia za mpunga wa wizi si zinapita kwenye bank zao patamu hapo ..... ....... .
USA wakomeshe rushwa ila kuwapokonya Russia na Qatar uenyeji italeta mgawanyiko mbaya sana.
Ndilo hilo la kuwapokonya Russia na Qatar uenyeji wao wa 2018 & 2022 ninalolihofia. Wawaadhibu wapokea rushwa wote na wainusuru FIFA kwa kutotengua maamuzi ya nyuma hata kama rushwa ilihusika katika kuwapatia wenyeji wa WC Russia na Qatar.