Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Rais wa FIFA Sepp Blatter amejiuzuru
wadhifa huo siku nne tu baada ya
kuchaguliwa, hii inafuatia kashfa ya
rushwa iliyogunduliwa na CIA
 
Naona wamekomaa naye hadi ameamua kujiuzuru ila ndo dhana ya uwajibikaji hiyo ila ingekua tanzania tusingeona kitu kama hicho
 
294A447D00000578-3107023-image-a-24_1433239284066.jpg

Hii barua ndo ilikuwa kama a last nail in the coffin kwa Bwana Blatter a.k.a Sefu Abdallah..
 
Ndo naona Breaking News hapa CNN na FOX...atakua kalazamishwa ajiuzuru na ma sponsor wa world cup na football in general..chezea US na UK wewe kama hawakutaki hata uungwe mkono vipi utaondoka tu.
 
Taarifa inasema "to resign", na hiyo ataifanya 2016 katika congress ya FIFA
 
Iga Mfano Jamal Malinzi, maana kura yako kwa Blatter haina maana sasa hivi
 
"It is my deep care for FIFA and its interests,
which I hold very dear, that has led me to take
this decision. I would like to thank those who
have always supported me in a constructive and
loyal manner as President of FIFA and who have
done so much for the game that we all love.

What matters to me more than anything is that
when all of this is over, football is the winner."

Alitaka aweke record ya kuwa Rais wa FIFA ayechaguliwa na kujiuzulu. Enough is enough, Blatter go go go go gooo.
 
Sepp Blatter key points:

  • Felt a lack of support by people in the world of football.
  • Did not want to wait until next Fifa congress in Mexico 2016
  • "Interests of Fifa are very dear to me and that is why I have taken this decision"
  • "What counts most to me is Fifa and football around the world"
  • "By stepping down allow Fifa to go further than ever before in terms of reform"
 
Blatter katisha. Yan siku chache tuu baada ya kuchukua urais kawaonesha wabaya wake ye nan alaf kasepa.
 
Taarifa inasema "to resign", na hiyo ataifanya 2016 katika congress ya FIFA

tetetetet naona wale watanzania waliopata uraia wa USA na UK wanafurahi wakati mrithi wake ni cycle ile ile. Qatar asingepewa yale mashindano akapewe UK au USA wasingefanya haya.
 
Alitaka aweke record ya kuwa Rais wa FIFA ayechaguliwa na kujiuzulu. Enough is enough, Blatter go go go go gooo.
Technically hajajiuzulu, according to Madrid based AS

"FIFA President Blatter today announced at a
press conference in Zurich that he will lay down
his mandate at an extraordinary elective
Congress. Until that election, he continues to
carry out his functions. The FIFA President also
announced a significant reform programme to
be driven by Domenico Scala, the Independent
Chairman of our Audit and Compliance
Committee. "
 
Medani ya soka duniani imepata pigo badala ya mkuu wa shirikisho hilo sepp blatter kujiuzuru, habari za kuthibitishwa zimesema mkuu uyo amejiuzuru ili kunusuru mchezo wa soka kufuatia kashfa za rushwa kwa viongozi wake waandamiziImageUploadedByJamiiForums1433266758.681210.jpg
 
Back
Top Bottom