Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.


Ahaaa...FEDS bana, I wish na Bongo tungekuwa na watu wanaoheshimu sheria kama hawa. Umesikia timbwili la Denny Hastert, alifanya yake huko 1970's lakini bado wamemuibua!.Labda iwe hivyo....lakini sasa hivi ni Blatter na minions wake.
Halafu nyepesi nyepesi zinadokeza kuwa jamaa wa Feds wanakwambia 'you ain't seen nothing yet'.
Chezea wenye akili wewe..mie wazungu nawakubali sana aisee...hawakurupuki mdogo mdogo mpk unaachia mwenyewee...jitu linasadikiwa linatafuna rushwa watu bado tuu wanalipa uongozi haya sasa na wakimaliza huko wanakuja huku kwa huyu fisadi mwenzake Issa Hayatou...
Hapana chezea shinikizo la Marekani bana hahahaaaaaaaa
usa wamelianzisha hili goma ndani yake kuna siasa hususan ishu ya world cup 2018 ambayo ilitarajiwa iwe kwa putin mmarekani hii kitu hataki kusikia sikioni kwake abadan
amefanya makubwa hasa ile GOAL PROJECT. wazungu waone kama walivyo wao wanaona kama mpira ni wao hasa kunufaika na mapato.Uingereza anapigania qatar anyanganywe kuandaa mashindano apewe yeye wakati hata viwanja vinavyoweza kujaza watu zaidi ya 50,000 hana vingi. wasasema qatar anapewaje kuandaa mashindano wakati mpira kwao haupo? lakini watu wakauliza marekani alipopewa alikuwa na mpira upi?
Ahaaa...FEDS bana, I wish na Bongo tungekuwa watu na wanaoheshimu sheria kama hawa. Umesikia timbwili la Denny Hastert, alifanya yake huko 1970's lakini bado wamemuibua!.
Blatter kafanya makubwa lkn ufisadi umekithiri chini ya uongozi wake. ...uingereza hajasema Qatar apokonywe apewe yeye,yeye anacholalamika ni kuhusu rushwa kutumika na pia Uingereza alipinga sana kwa kombe la dunia kuchezwa kipindi cha majira ya baridi (winter) maana kipindi hicho huwa ligi yao inaendelea na wao "waingereza" wanasema ligi kuchezwa winter ni sehemu ya utamaduni wao.
Kuhusu viwanja vinavyoingiza watu zaidi ya 50 elfu nadhani waingereza wanavyo vingi kuliko Qatar. ....London kuna Wembley(90,000),Twickenham stadium (82,000) Olympic stadium(54000), Emirates stadium(61,000), Stamford Bridge (41 elfu)....Manchester: Old Trafford(75000), Etihad stadium (mpk Aug mwaka huu kitakuwa kinaingiza watu 55 elfu)...Glasgow; celtic park (60 elfu), ibrox stadium-uwanja wa rangers (50 elfu), murrayfield (67000), Hampstead (51000),....St James Park- Newcastle (51000),...........na kuna viwanja kama saba vinaingiza zaidi ya watu elfu 40.
Hakuwa na jinsi.
Sponsors walikuwa wanataka jiondoa kama yeye na zile issue za rushwa zisingekuwa solved.
Pia UEFA walikuwa na mpango wa kugomea mashindano ya FIFA kama aneendelea kuwa raisi.
Kingine umri umemtupa mkono aisee
Hivi unajua kuwa viwanja vingi vya Uingereza vinamilikiwa na council?
World cup huko Russia, 2018 matatani!.
labda viwanja vya mchangani.
UK oyeee, USA oyeee na Platin oyeee. Tumechoshwa na Ufisadi ndani ya FIFA.
Tupo dunia tofauti.
Hata Qatar 2022, lakini hili likitokea basi kunaweza kukatokea mtafaruku mkubwa ambao unaweza kabisa kuisambaratisha FIFA na kubadili kabisa mfumo wa mashindano ya kombe la dunia kama tuujuavyo, naomba hilo lisitokee kabisa.
Unajua nini BAK, kwa jinsi ninavyoichukia rushwa, ikitokea hiyo; ni bora tu FIFA isabaratike waunde chombo kingine aisee!.Hata Qatar 2022, lakini hili likitokea basi kunaweza kukatokea mtafaruku mkubwa ambao unaweza kabisa kuisambaratisha FIFA na kubadili kabisa mfumo wa mashindano ya kombe la dunia kama tuujuavyo, naomba hilo lisitokee kabisa.