Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

amefanya makubwa hasa ile GOAL PROJECT. wazungu waone kama walivyo wao wanaona kama mpira ni wao hasa kunufaika na mapato.Uingereza anapigania qatar anyanganywe kuandaa mashindano apewe yeye wakati hata viwanja vinavyoweza kujaza watu zaidi ya 50,000 hana vingi. wasasema qatar anapewaje kuandaa mashindano wakati mpira kwao haupo? lakini watu wakauliza marekani alipopewa alikuwa na mpira upi?

Soma sheria ya FIFA vizuri. Kwenye group match viwanja vinatakiwa vier na uwezo Wa kuchukua wati elfu 40- hadi 60 Ndio.

www.playthegame.org/fileadmin/documents/world_stadium_index_4_fifa_wc.pdf
 
Ijumaa alikuwa anaimba nyimbo za 'let's go FIFA..let's go FIFA'.
Jumanne anatangaza kujiuzulu kwake.
Feds wakikukomalia koo huwezi kusalimika hata kidogo.
Big up AG Loretta Lynch and your team.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:


So stupid of you!.....America has no business in football ,they can barely kick a football...they even have some silly name for it(soccer).
This was a war on Russia(2018 world cup) by the AXIS OF EVIL.....and the entire planet knows
I am glad China too will soon give your evil axis some taste of your own medicine.
Africa has lost but we at least know who is the bigger evil btwn the two devils.
 
Mkuu usiwe na wasiwasi wanaofuatilia hii kesi ni FBI, anakwenda jela apende asipende, when FBI set their sight on you with evidence you are gone. Time will tell FBI are very strong and behind them the resources required to do the job. Mark my words. Natumaini unaona jinsi FBI wanavyofanya kazi zao kuna series zile za FBI files kama unazikodolea.

294A447D00000578-3107023-image-a-24_1433239284066.jpg




FBI huwa hawakurupuki.

BTW kuna very good news, UK pamoja na USA wameamua makampuni yote yanayokwepa kodi Africa watayashughulikia. Na njia za mpunga wa wizi si zinapita kwenye bank zao patamu hapo ..... ....... .




NI nini iliwazuia kuyashughulikia makampuni hayo yanayokwepa kodi miako zote hizo mia mbili NA ZAIDI?.....na ni kwanini waliruhusu hela za viongozi wafisadi miaka nenda rudi??????????
Hypocritical LIARS!

They must cede control of stuff like sports to Africa/Asia...sio kila kitu wao ndio wawe na say....sio economics/world trade, warfare/weaponry..world politics .....yaani mpaka football...the only stronghold of the poor nations......I fucking hate THE AXIS OF EVIL(US/EU/NATO).
Hii yote is a loss to Africa.....all those investments in sports will no longer come to us because of RACISM......Yes we know how your US/Platini/Europe/UK/UEFA are racists.
Before Blatter we were marginalized in football with no decision making chances or world cup hosting chances and now they are tying the noose again.
SHAME SHAME!! ON AMERICA!!!....Let football like we know it END!!!!!
 
My Pop believes this was a well planned move by the Westerners, had he stepped down b4 the election then Prince Ali woulda won.

Ali anahojiwa live na Amanpour saivi.


Kam ni hivyo kawazidi ujanja,
maana sasa ananafasi ya kuweka kibara wake hata Issaa Ayatoo akigombea atashinda maana yeye anakura nyingi za Africa na asaia
 
So stupid of you!.....America has no business in football ,they can barely kick a football...they even have some silly name for it(soccer).
This was a war on Russia(2018 world cup) by the AXIS OF EVIL.....and the entire planet knows
I am glad China too will soon give your evil axis some taste of your own medicine.
Africa has lost but we at least know who is the bigger evil btwn the two devils.

Up yours.
 
Mimi sidhani kama Russia inaweza kupokonywa unless labda ushiriki wake katika rushwa ni mkubwa kupindukia.

I mean, ni nani mwingine anayeweza ku host kombe la dunia on short notice zaidi ya Marekani na Uingereza?

Haitaleta picha nzuri duniani kwa Wamarekani kuongoza huu uchunguzi halafu na kuipokonya Russia hiyo fursa na kuyaleta hayo mashindano Marekani. Haitapendeza kabisa.

Ujenzi wa miundomsingi ya Russia 2018 ishaanza na muda uliobaki ni mchache mno.

Maybe Qatar anaweza kupokonywa lakini si Russia aisee.


Iwe russia au Qatar hawewezi kunyanganywa maana kufanya hivyo FIFA itafilisika kutokana na mikataba waliyokwisha saini. Mfano ujenzi wa miundo mbinu kwa Qatar unagharimu karibu $200billion (sawa na Trillion 400 za kitanzania). Tayari wanasheria wamesema ni lazima kwanza waangalie clauses za mikataba hivyo kabla ya kufanya lolote otherwise watajuta maana Qatar na Russia wataipeleka mahakamani FIFA kulipwa hizo gharama kama fidia za kunyangwa uandaaji huo wa mashindano na hapo ndipo utakuwa mwisho wa FIFA.

Victoire BAK
 
Aibu barala africa.na.njaazetu jamaa katuchinjia baharini nahadizake anakuja ....tutasoma naamba
 
WAJE KUCHUNGUZA NA CAF.NA VYAMA VYA AFRICA...eg k...f..t...f
 
vitu vingine msiwe mnasingizia, kila kitu afanyacho USA, lazima aonekane ni shida, haya madai ya rushwa fifa hayakuanza leo ni miaka mingi sana, na blatter alikuwa amrifanya fifa kama kampuni binafsi!! akajisahau, watu wamekusanya ushahidi wa kutosha wamemaliza kazi, na hata uenyeji wa kombe la dunia 2018,na 22,lazima tu zitafutwa na sio mambo ya siasa, ila ni rushwa. USA ni baba lao. ukiingia kwenye 18,zao tu umekwisha!!

Na kumbuka kibri cha Ndolanga!!
 
Hamtaliona kombe la dunia kwenye ardhi ya Africa mpaka yethu atarudi

Nashkuru wew unaelewa vitu flani ambavyo blatter alikua anavisimamia ambavyo haw wahuni wa ulaya na usa hawaezi kudhubutu kufanya....
Nashangaa mijitu humu inaandika vitu kuusu blatter,kumbe iko blind kabisa...
 
Ushahidi upo sio fitna.


leta ushahidi kwamba blatter alihusika moja kwa moja kwe ile scandel....ivi nyie mnafkir ulaya na u.s hawamtak blatter sababu ya scandel tuu bas!!?...
kuna vitu vingi sana nyuma ya pazia ambavyo ni major cause ya hii kitu....
Waingereza ni washenz sana na uyo platini wao.
 
Hii yote ni kwa sababu UK walikosa ile World Cup ya 2022 aliyopata qatar, Sasa kazi ipo je Qatar atapokonywa?

wanaosema Africa maslahi yetu yamepotea, si kweli, Bado sisi ni wengi sana na kwenye kura za Fifa, tunanafasi kubw aya kubargain na tukapata kilichobora kwa ajili yetu, kama tusipo weka Matumbo mbele.

mbona mpaka leo tunapeleka timu 5 tu WC na makelele yote hayo tulokua tunapiga?..iyo bagaining power unayosema iko wapi?.....blatter ana mapunguf yakee skatai but kitu kimoja ambacho kina platin hawakumpenda ni kwamba,he stand for Africa in many aspects...mojawapo ni kuleta WC africa...Platin na uk hawakupend kabisaa..
izo rushwa ni geresha tuu.. Ila siri wanaijua wao.
 
Back
Top Bottom