Septemba 15: Siku ya Demokrasia Duniani

Septemba 15: Siku ya Demokrasia Duniani

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu

Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali

UHURU WA KUJIELEZA:
Mijadala ya wazi, Mitazamo, Mapendekezo na Maoni ya Wananchi wote ni nguzo muhimu wa Demokrasia

Uhuru wa kutoa maoni juu ya masuala muhimu katika Jamii ni Haki ya Msingi ya Binadamu inayowezesha nyingine kustawi

Katika Jamii na Nchi yoyote ya Kidemokrasia; Sauti, Uwazi na Ukweli vinahitajika ili kuleta Mabadiliko

HAKI ZA BINADAMU:
Demokrasia haiwezi kuwa kamilifu bila kuheshimu #HakiZaBinadamu kwani ni masuala yanayoenda sambamba. Demokrasia ni pamoja na Raia kufahamu Haki zao za Msingi

Ulinzi mkubwa zaidi wa Haki za Binadamu unatokana na Mfumo endelevu wa Kidemokrasia unaojikita katika Utawala wa Sheria

======

While the COVID-19 crisis has resulted in major challenges globally, a new upheaval in Europe is reminding the world that our democratic principles are constantly under threat. In fact, now more than ever Democracy is backsliding, civic space is shrinking, distrust, mis- and disinformation are growing while threats to the freedom of journalists and media workers are expanding by the day.

This year, Democracy Day will focus on the importance of media freedom to democracy, peace, and delivering on the Sustainable Development Goals.

Free, independent and pluralistic media, able to keep the public informed on matters of public interest, is a key ingredient to democracy. It enables the public to make informed decisions and hold governments to account. When media freedoms are under threat - the flow of information can be stifled, skewed or cut off entirely. Increasingly, journalists around the world face limits to their ability to operate freely – with a grave impact on human rights, democracy and development.

The International Day of Democracy provides an opportunity to review the state of democracy in the world. Democracy is as much a process as a goal, and only with the full participation of and support by the international community, national governing bodies, civil society and individuals, can the ideal of democracy be made into a reality to be enjoyed by everyone, everywhere.

Freedom of expression is a fundamental human right, enshrined in Article 19 of the Universal Declaration of Human Rights. But around the world, there are governments and those wielding power who find many ways to obstruct it.

Article 19 of the Universal Declaration of Human Rights states, “Everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media and regardless of frontiers.”

The link between democracy and press freedom is also enshrined in the International Covenant on Civil and Political Rights.
 
Tz hakuna demokrasia ni maigizo ya kuendelea kuiweka kijani madarakani.


#MaendeleoHayanaChama
 
🤣🤣🤣Ili neno democracy linachekesha kweli 🤣🤣🤣😜
 
Back
Top Bottom