Kafa kibudu. Hakuna hata fursa ya matibabu bora.😅😅Dr. Magufuli aliugua week moja akafa, Mh. Tundu Lissu alipigwa lisasi nyingi akaumia, akakatwakatwa visu vingi hospitalini, na sehemu za mawili wake zikakatwa kuweka sehemu zingine kufidia nyama zilizoumizwa! Miguu na nyonga vikawekewa vyuma! Na risasi nyingine bado imo mwilini mwake na haiwezi tolewa! Amekuwa kilema! Lakini, mwisho wa yote atakufa (kwa mateso yote hayo na bado)!
Sasa wewe Tafakari hayo mapenzi ya Mungu!