Septemba 7, 2017 jaribio la mauji ya Tundu Lissu ilikuwa ni siku mbaya

Kafa kibudu. Hakuna hata fursa ya matibabu bora.😅😅
 
Tundu aliumwa huku anapiga self na washkaji, famili na marafiki. Jiwe kafia huko vichochoroni kwa laana zake hata mke wake hakusema Pole mume wangu. Do you see the difference??

Mungu mkubwa ajabu
 
Walaaniwe wote waliohusika na kushabikia tukio hili; wao na vizazi vyao.
 
Tundu aliumwa huku anapiga self na washkaji, famili na marafiki. Jiwe kafia huko vichochoroni kwa laana zake hata mke wake hakusema Pole mume wangu. Do you see the difference??

Mungu mkubwa ajabu
Huyo Lisu msifikri kuwa eti yeye hpo alipo anafuraha mateso yake ni makubwa! Tuendelee kumwombea maana kadri umri unavyoenda mateso ya operation alizofanyiwa yanazid! Tusiwe wepesi wa kuhukumu kila atavuna alichopanda!
 
Wewe unajua namna kifo chako kitakavyokua? Unaweza kufa kwa kupigwa risasi za kwenye tigo yako
 
MUngu Mkubwa aliamua "kumaliza ugomvi wetu" na yule katili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…