September 11 ...Ulikuwa wapi ??

Davie S.M

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
748
Reaction score
228
11.09 2001 nilikuwa Olevel..pale HighLand Iringa ..nilihisi tukio Dogo na Kama Movie tuu kumbe lilikuwa pigo kwa wamarekani na Hatua mpya na yenye nguvu kupambana na Ugaidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kumbe wadau wa highland tupo wengi nilikuwa std six pande za singa du
 
Nilikuwa nimepigwa suspension a level, naingia sebuleni tu nakuta breaking news
 
nilikuwa minaki o level nikasikia marekani imelipuliwa.. Badae jioni tukajazana kwenye dinning hall kuangalia taarifa ya habari
 
11.09 2001 nilikuwa Olevel..pale HighLand Iringa ..nilihisi tukio Dogo na Kama Movie tuu kumbe lilikuwa pigo kwa wamarekani na Hatua mpya na yenye nguvu kupambana na Ugaidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mie nilikuwa mgodini eni hiyoo...
 
Halafu ukishajua nilikuwa wapi ndiyo utakuwa umepata faida gani?
 
Nilikuwa nimepigwa suspension a level, naingia sebuleni tu nakuta breaking news

Baba V, A level?
Me ndo kwanza niko Std 6 pale Forodhani Primary. Kama ni 2001.
BTW Shikamoo.
 
Last edited by a moderator:
11.09 2001 nilikuwa Olevel..pale HighLand Iringa ..nilihisi tukio Dogo na Kama Movie tuu kumbe lilikuwa pigo kwa wamarekani na Hatua mpya na yenye nguvu kupambana na Ugaidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mkuu Davie S. M, Why bothering abt US being in terrosist attack of Sept 11st, while sisi kama Watanzania na Wana Afrika Mashariki Balozi zao NCHINI KWETU ZILILIPULIWA (07.08.1998) na watanzania kupoteza maisha than few Tanzanians in US probably none on WTC that day??

But just to answer your qn, nilikuwa hospitali nikitibu wagonjwa.
 
Aisee hilo tukio nilikua UK, ndio naamka hivi nikasema niwashe TV dooh nakuta SKY BREAKING NEWS nikaona ka vile siamini nikachange channel nikaweka BBC nao breaking news nikabadilisha nikaweka CNN nao hivyo hivyo nikajua kweli kumekucha, UK nzima ilisimama...HEATHROW NA GATWICK airport zikafungwa mapolisi kila mahali yaani tukio lilitokea US lakini UK ilipanic utadhani ndio ilikua imetokea kwao..it was amazing..sitakaa nisahau
 
nipo kwenye brobation ya first appointment hapahapa,
 
Baba V, A level?
Me ndo kwanza niko Std 6 pale Forodhani Primary. Kama ni 2001.
BTW Shikamoo.

Kumbe na wewe mtoto downtown city centre, mtoto wa mwalim chuma, matata, madam simon etc, I was there in forodhan primary xul,,

Sept 11 nilikuwa mbeya kusalimia kijin kwetu nikasikia osama kailipua marekan yote nilishtuka baadae ndo b mkubwa akanambia ni WTC ndo imelipuliwa sio america yote
 
Last edited by a moderator:
Nilikua form six. Nilikua nakatiza maeneo flani ya A-town karibu na stend. Nikasikia habar hiyo
 
...Dr. I'm not bothering, because its today and I know what happened, moreover,it change everything in World's terrorism policy..sura mpya ya dunia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…