Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Sikutishi ila ninajiuliza na jibu sipati,utaniweza kweli.....
Kwenye kunichapa hyo 'bakora ya umri mdogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikutishi ila ninajiuliza na jibu sipati,utaniweza kweli.....
Kwenye kunichapa hyo 'bakora ya umri mdogo?
hahahaaa kamata mwongo meeeenuliamka saa ngapi siku hiyo?...kuna kitu nina shaka nacho
Sikutishi ila ninajiuliza na jibu sipati,utaniweza kweli.....
We usifanye mchezo kabisa na hiyo bakora,pamoja na kuzeeka lakini iko imara utasema ndio imeanza jana...
Sijui utaiogopa..??
Umeanza tena,ntakukata
Huna adabu ngoja nije niikate
usimtishe mtu hapa wewe?
Ukubwa si hoja,hoja ni virutubisho.
Aliamka saa nane mchana bana!.uliamka saa ngapi siku hiyo?...kuna kitu nina shaka nacho
we usifanye mchezo kabisa na hiyo bakora,pamoja na kuzeeka lakini iko imara utasema ndio imeanza jana...
Sijui utaiogopa..??
Huna adabu ngoja nije niikate
ACHA KUMTISHA MWENZAKO. UNATAKA St. Paka Mweusi akueleweje? anaongea na my new wife we yakuhusu nini maongezi yao? FUATA MAMBO YAKO MUME MWENZANGU WA ZAMANI KWA Madame B.
darling mwambie 'heshima pesa, shikamoo kelele tu.'
hata me nilikuwa form 3 huko Hegongo Holly Cross Muheza, inabidi wawe wanatusalimia.