September 11 ...Ulikuwa wapi ??

September 11 ...Ulikuwa wapi ??

yeah! sure, nakumbuka nilikuwa A-level tosamaganga iringa. hii tareh pia ndo nimejiunga na JF mwaka juzi.
 
Huna adabu ngoja nije niikate

ACHA KUMTISHA MWENZAKO. UNATAKA St. Paka Mweusi akueleweje? anaongea na my new wife we yakuhusu nini maongezi yao? FUATA MAMBO YAKO MUME MWENZANGU WA ZAMANI KWA Madame B.
 
ACHA KUMTISHA MWENZAKO. UNATAKA St. Paka Mweusi akueleweje? anaongea na my new wife we yakuhusu nini maongezi yao? FUATA MAMBO YAKO MUME MWENZANGU WA ZAMANI KWA Madame B.

Msioneane wivu basi jamani.
 
Mi hata nilikuwa sijui nn.kinatokea maana nilikuwa darasa la pl
 
Back
Top Bottom