ACHA KUMTISHA MWENZAKO. UNATAKA St. Paka Mweusi akueleweje? anaongea na my new wife we yakuhusu nini maongezi o? FUATA MAMBO YAKO MUME MWENZANGU WA ZAMANI KWA Madame B.
Mi hata nilikuwa sijui nn.kinatokea maana nilikuwa darasa la pl
Haya nitayarishieni Shikamoo yangu haraka sana kabla sijawatuma mkaniletee bakora yangu..
kumbe umesoma Darajani!
hahahaaa kamata mwongo meeeen
Aliamka saa nane mchana bana!.
eeh watu8
uliamka saa ngapi siku hiyo?...kuna kitu nina shaka nacho
kinachokupa mashaka ni kipi
hahaha mkuu jibu swali bhanaa....nikikujibu swali lako utanipiga chenga ya mwili
:biggrin1: enzi hizo nilikua nafanya kazi za shift si unajua unapiga kazi usiku ulala asubuhi....au nikutumie picha uamini!!
ooh mie nilikuwa Changa Pri hapo St. Antony...
napajua changa ipo chumbageni
hahahaaaa chaminglady tumeumbuka ma dia
hebu amkia haraka!
yup...kashule ka watoto wa kihindi, sijui miaka ya karibuni kama bado kana huo utamaduni maana tokea nihame mji wa Tanga ni miaka mingi imepiata