Sera iliyoboreshwa na mtaala mpya ni Danganya toto ya kisiasa huko mashuleni hakuna kinachoendelea

Sera iliyoboreshwa na mtaala mpya ni Danganya toto ya kisiasa huko mashuleni hakuna kinachoendelea

Wewe tu ndio uelewi labda kwasababu ya umri wako, lakini nchi hii inaeleweka, kila waziri wa elimu huwa anakuja na mauza uza yake, na akiondoka anaondoka nayo.

Ulitegemea kuona nini?
Leo umeongea jambo la msingi. Field tofauti na vitabu walivyoleta mashuleni hakuna mabadiliko yoyote mengine.
 
Nafikiri mambo yanafanyika taratibu.
Unajua Elimu yenyewe bure, kumaanisha serikali itakuwa inachota pesa sehemu nyingine ili kuendesha sekta ya Elimu.

Kuajiri waalimu wapya wa Masomo kama ya ushonaji, Muziki, Ususi, kufunga Solar n.k ni mchakato ila Ajira zimetolewa ingawaje hazitoshelezi

Kuandaa Majengo na vifaa vya kufundishia Masomo mapya nayo ni kipengele kingine.
Kote huko wanahitaji pesa.

Ni vizuri Wazo lishawekwa Kati, utekelezaji umeanza kidogokidogo.

Mpaka 2027 mambo yatakuwa angalau
Na pia tuelewe kabla ya shule kuwa shule, kwanza inaanza kuwa kituo cha kukusanya na kulea watoto chini ya waangalizi ambao baadae hugeuka kuwa teachers. Bye bye!
 
Back
Top Bottom