sera mojawapo ya chama cha siasa

sera mojawapo ya chama cha siasa

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,347
Reaction score
562
Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji la vyuo na kitovu cha elimu cha nchi.


Nilikuwa napitia sera za vyama nikakutana na hii. Mi nimeipenda, kwani ninashangazwa na kigugumizi cha sasa hivi. bora hawa wanasema kitu fresh na practical nadhani, wewe unaonaje?
 
Back
Top Bottom