Sera mpya ya Elimu, PPP ya David Kafulila ndani

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akiizundua Sera mpya ya Elimu ya Taifa hilo amezitaka mamlaka zinahusika kuhakikisha mashirikiano baina ya Serikali na Sekta binafsi PPP yanaingia kwenye Sera hiyo Mpya ya Elimu ili kufundishwa mashuleni.

Huko mbele Taifa la Tanzania na Dunia ziendako Kuna wasiwasi huenda nchi na mataifa mbalimbali tajiri duniani kuendelea kuzisaidia Serikali zetu itakuwa ni jambalo gumu ila itawezekana tu kwa kupitia Sekta binafsi.

Serikali inaweza ikavuna mitaji, teknolojia pamoja na Utaalamu kutoka katika sekta binafsi kwa kutumia PPP alihimiza Rais Samia.

Tumejaribu kupita katika tovuti ya kituo hicho PPPC, kinatarajia kuvuta mitaji na huduma zenye thamani ya $9bn zaidi ya Trilioni 25 za Kitanzania kwa kutumia miradi ya PPP.

Rais Samia aliahidi kwenye hotuba yake ya kumaliza mwaka 2024 kuwa nchi yake kwa mwaka 2025 itatekeleza miradi mingi zaidi kwa misingi ya Ubia na Sekta binafsi toka ndani na nje ya Tanzania.

Vizuri sana hata hivyo
 
PPP Sio lazima primary nashauri ianze secondary
 
Mama Samia mitano tena,
Nchi nyingi zilizoendelea kwa Kasi nyuma yake Kuna PPP.
PPP Haina limitations of budgets Cha la msingi ni kwa wasimamizi kuuvaa Uzalendo wa Kweli ili kulisaidia Taifa.
Hata hivyo anastahili
 
Nashauri mama apewe miaka mitano mingine
 
PPP mbona inatrend sana?
 
PPP ni mfumo wa kupambana na upigaji kiaina hivi
 
Nadhani Kuna jambo haliko sawa
 
Mama Samia mitano tena,
Nchi nyingi zilizoendelea kwa Kasi nyuma yake Kuna PPP.
PPP Haina limitations of budgets Cha la msingi ni kwa wasimamizi kuuvaa Uzalendo wa Kweli ili kulisaidia Taifa.
Sawa afande
 
Back
Top Bottom