JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Sera mpya ya faragha ya WhatsApp imesheheni maneno 8,000 ambayo yameandikwa wa lugha ya kisheria (ngumu kueleweka kwa mtu wa kawaida)
Sera imeeleza kuwa taarifa za watumiaji wa WhatsApp zitasambazwa kwa kampuni Mama (Facebook)
Taarifa hizo zitajumuisha eneo alilopo mtumiaji, kiwango cha chaji ya simu, namba ya IMEI, na mtandao anaoutumia
Pia watasambaza taarifa za mtumiaji kuhusu makundi sogozi ya WhatsApp aliyopo, picha yake ya 'Profile'
Upvote
0