Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Sera ya Afya ya Tanzania inataka kama ifuatavyo:
1. Kila mkoa kuwa na Hospili ya rufaa
2. Kila wilaya kuwa na Hopsitali ya wilaya
3. Kila kata iwe na Kituo cha afya
4. Kila Kijiji/vitongoji kuwe na zahanati.
5. Taifa liwe na National Hospital.
6. Kila zote iwe na zonal hospital.
Wote tunajua Tanzania ina mikoa mingapi, wilaya ngapi , kata ngapi na vijiji/vitongoji vingapi.
Hadi muda huu hakuna mgombea ambaye ameweza kusema tunahitaji hospitali ngapi za mikoa, wilaya, vituo vya afya na zahanati.
Kila mgombea anasema tuu tutajenga zahanti sijui niji etc.
Matatizo ya kutokutumia twakwimu ndiyo yanaturudisha nyuma.
CCM wanasema wamejenga regional hospital 10 lakini hawasemi zimebaki ngapi au walitakiwa kujenga ngapi?
Kuna shida kubwa sana kufanya kazi hila malengo.