Sera ya Kilimo Bora cha Parachichi, Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aiwasilisha Bungeni

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

SERA YA KILIMO BORA CHA PARACHICHI MBUNGE RUHORO AIWASILISHA BUNGENI. ​

BUNGENI - DODOMA
11/06/2025.

Mhe. Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Ngara ameiuliza Wizara ya kilimo kuhusu mkakati bora wa kukuza kilimo Cha zao la Parachichi Jimboni Ngara.

Mhe. David Silinde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo amejibu ya kuwa mikakati ya kilimo bora cha zao la Parachichi na kupanua masoko ya ndani na nje ya nchi sambamba na ugawaji wa miche bora; Misimu iliyopita Serikali kupitia Halmashauri waligawa miche 26,000 na msimu wa 2025/2026 Wizara kupitia Halmashauri watagawa Miche bora 100,000 ya Parachichi.

Mhe. Ruhoro, katika swali la nyongeza ameiuliza Serikali Kuona sababu ya kuotesha miche ya Parachichi pembezoni mwa Vitalu vya miche ya Parachichi nae Mhe. David Silinde amerithia kufanyia kazi Hoja hiyo ya kuotesha Miche ya Parachichi pembeni mwa Vitalu vya Kahawa.

Wenu.
Ernest Ruhugu
Katibu wa Mbunge
 
Parachichi za Kawaida au Hass?
 
Back
Top Bottom