Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King Leopolds Letter
to Colonial Missionaries in 1883
"Reverends, Fathers, and Dear Compatriots:
The task that is given to us to fulfill is very delicate and requires much tact. You will go certainly to evangelize, but your evangelization must inspire above all Belgium interests.
Your principal objective in our mission in the Congo is never to teach the niggers to know God. Thus they know already. They speak and submit to a Mungu, one Nzambi, one Nzakomba, and what else I don't know. They know that to kill, to sleep with someone else's wife, to lie and to insult is bad.
Have courage to admit it; you are not going to teach them what they know already. Your essential role is to facilitate the task of administrators and industrials, which means you will go to interpret the gospel in the way it will be the best to protect your interests in that part of the world.
For these things, you have to keep watch on disinteresting our savages from the richness that is plenty in their underground. To avoid that they get interested in it, and make you a murderous competition and dream one day to overthrow you.
Your knowledge of the gospel will allow you to find texts ordering, and encouraging your followers to love poverty. Like happier are the poor because they will inherit the heaven and it's very difficult for the rich to enter the kingdom of God.
You have to detach from them and make them disrespect everything which gives courage to affront us. I make reference to their Mystic System and their war fetish - warfare protection - which they pretend not to want to abandon, and you must do everything in your power to make it disappear.
Your action will be directed essentially to the younger ones, for they won't revolt when the recommendation of the priest is contradictory to their parent's teachings. The children have to learn to obey what the missionary recommends, who is the father of their soul. You must singularly insist on their total submission and obedience, avoid developing the spirits in the schools, teach students to read and not to reason.
There, dear compatriots, are some of the principles that you must apply. You will find many other books, which will be given to you at the end of this conference. Evangelize the niggers so that they stay forever in submission to the white colonialists, so they never revolt against the restraints they are undergoing.
Recite every day - happy are those who are weeping because the kingdom of God is for them. Convert always the blacks by using the whip. Keep their women in nine months of submission to work freely for us. Force them to pay you in sign of recognition goats, chickens or eggs every time you visit their villages. And make sure that niggers never become rich. Sing every day that it's impossible for the rich to enter heaven.
Make them pay tax each week at Sunday mass. Use the money supposed for the poor, to build flourishing business centres. Institute a confessional system, which allows you to be good detectives denouncing any black that has a different consciousness contrary to that of the decision-maker.
Teach the niggers to forget their heroes and to adore only ours. Never present a chair to a black that comes to visit you. Don't give him more than one cigarette. Never invite him for dinner even if he gives you a chicken every time you arrive at his house."
Wale wanaosema kuna ubaguzi kuhusu uzawa...Then niwaulize na hao wahindi na caste system si ubaguzi? Mapungufu tuliyonayo ni makubwa kiasi cha kwamba tukifanya marekebisho bado tutakuwa fair na si ubaguzi hata chembe.
Kwamba mzawa anufaike na ardhi ya Taifa lake ni ubaguzi?
Kwa kulinganisha na wenzetu...Sisi bado sana tu...Tunahitaji marekebisho na nimeshangazwa na MKJJ kudai Lusekelo ajiuuzulu kwa hili...MKJJ una problrm na watu weusi? Kwanza ulisema ushabiki wa waafrika kwa Obama ni kwasababu ya weusi...Then weusi wakinufaika na ardhi yao ni ubaguzi...Vipi wakuu?
Black empowerment for what and on what grounds? Aren't blacks the overwhelming majority in Tanzania? Don't they run pretty much just about everything? So where does this notion of black empowerment come from? I just don't get it!
I think, in my opinion, it us who are holding ourselves back. The buck stops with us, end of story. We need to get up on our butts and start working, start participating responsibly in the electoral process by booting leaders who betray our trust, and intensify the war against mafisadi by hunting them down and making an example out of them (through the justice system). It can be done only if we want to.
Sasa hao mafisadi kwani sio wazawa? Na title inasema weusi, kwa hiyo watu ambao sio weusi lakini wamezaliwa na kukulia Tanzania inakuaje?Kuwawezesha wazawa kwenye nyanja muhimu za kiuchumi ni jambo la muhimu...Imagine mapesa yote yaliyohamishwa nje pamoja na za mafisadi wetu wazawa...Taifa lingekuwa wapi?
We huoni kwamba kuna uozo hapo na kunahitaji mabadiliko makubwa?
Ndio maana makanisa ya Marekani siku hizi wanaanza kufundisha kwamba watumishi wa Mungu ni lazima wawe matajiri na kutoa mifano ya watumishi wote wa Mungu katika agano la kale walikuwa na uwezo, hata kama walihangaika mwanzo lakini walikuwa na uwezo na ni haki ya kila anayemuabudu Mungu kuwa na uwezo.Unyonge wa Mwafrika unatokana na nini? Pampja na Nyani kudai ndivyo tulivyo, je inawezekana kuwa tulilazimishwa kuwa ndivyo tulivyo kifikra na kimazingira kwa muda mrefu kiasi kuwa imekuwa ni sehemu ya jinioloji yetu na urithi?
Naomba mpitie barua hii ya Mfalme Leopold wa Ubelgiji. Sijui kama ni kweli iliandikwa lakini ukipima matokeo ya ukoloni na makovu ya ukoloni, yanaonyesha wazi kuwa kuna ukweli ndani yake.
Sasa ukishaisoma, jiulize kama Iddi Simba alikuwa amekosea au laa!
[/SIZE]
King Leopold's Letter to Colonial Missionaries in 1883
Unyonge wa Mwafrika unatokana na nini? Pampja na Nyani kudai ndivyo tulivyo, je inawezekana kuwa tulilazimishwa kuwa ndivyo tulivyo kifikra na kimazingira kwa muda mrefu kiasi kuwa imekuwa ni sehemu ya jinioloji yetu na urithi?
Naomba mpitie barua hii ya Mfalme Leopold wa Ubelgiji. Sijui kama ni kweli iliandikwa lakini ukipima matokeo ya ukoloni na makovu ya ukoloni, yanaonyesha wazi kuwa kuna ukweli ndani yake.
Sasa ukishaisoma, jiulize kama Iddi Simba alikuwa amekosea au laa!
[/SIZE]
http://www.world-hi.com/KingLeopoldLetter.html
Pili ukitazama mikopo, mkulima mzawa mwenye shamba la hekta 10 hawezi kupata mkopo bila kumtumia Patel ambaye hana shamba. Na kibaya zaidi ni kwamba viongozi wetu wana feel confortable ku deal na mhindi kuliko mtu mweusi.. Sasa usije nielewe vibaya kuwa mhindi sio mzawa.. Wapo wazawa lakini tofauti ni kwamba wao wana uraia wa nchi mbili na hakuna utaratibu wowote nchini wa kuwanasa wale wenye kutumia jina la Utanzania kwa kuficha asili na royal yao kwa nchi.
Wapo wahindi walio give a lot to our nation kama kina Rajan, Virani, Kugi's, na wengine wengi sana tu nao kama wazawa wanahitaji kupewa nafasi lakini nao pia wamekutana na mengi ya kuwakwamisha na hata kuhoji Uzalendo wao. Hata waarabu wapo wengi sana wazawa hawa wote ni kundi moja nasi kwa sababu tumesota wote..
Kwa vile hii ishu ina umuhimu mkubwa, inabidi kuanza kwa kuchanganua msamiati wake.
Mzawa wa Tanzanai ni mzaliwa wa Tanzania. Kuwezesha wazawa ni kuwapa wazaliwa fursa ya kujiinua kiuchumi.
Mzawa ni raia, lakini wako raia ambao sio wazawa. Je, raia wote wanastahili haki sawa? Ndio. Je, kuwapa wazawa fursa ya kujiinua kiuchumi kunakiuka huu msingi wa haki sawa kwa raia wote? Not necessarily.
Affirmative action is sometimes the way to address historical injustices. And there are many historical injustices here. For instance, the colonial government spent several times more on the education of each white or Indian child than it did on the education of an African child.
Hatua ya kwanza na ambayo inawezekana tu vizuri ya kuwawezesha wazawa ni kuwarudishia ardhi yao. Ardhi hii ilichukuliwa kuwa mali ya taifa (?) mara baada ya UHURU. (i.e. Independence led to a massive loss of property for wazawa).
Kila mzawa anayetoka sehemu zenye ardhi basi amilikishwe ekari 50 100 kutoka katika ardhi inayozunguka kwao. Hiyo pekee itakuwa ni sawa na kumwekea yeye na uzao wake akiba ya VIJISENTI (yaani kama shilingi bilioni moja). Hii ni haki, sio ubaguzi (inambagua nani?) na inawezekana. Ni kuwarudishia wazawa mali zao.
Sasa akija huyu mtu anayeitwa mwekezaji, na akatamani madini yaliyoko kwenye ardhi ya hawa wazawa, itabidi aweke mkataba nao wa kuwamilikisha hisa (sio ruzuku) za kutosha. Serikali itahusika kuhakiki hiyo mikataba.
Labda utauliza fedha za kupimia ardhi zote hizo zitatoka wapi? Zitatoka ARDHI. Kama serikali itaacha utani na kuanza kutoa hati miliki kwa viwanja vilivyopo mijini, na kukusanya kodi za viwanja hivyo, basi MAJISENTI chungu nzima (billions and billions of shillings) yatapatikana.
Fundi mchundo,
Mkuu nimetumia jina la Patel kuonyesha mtu ambaye sii mzawa. Nigetumia hata neno Ogah bado ungetafuta sababu lakini kwa maelezo marefu nimeweza kutenganisha yote unayojaribu kunibambikia.. yes, nilikuwa na maana ya royalty lakini sikuwa na maana ya Patroit wala sikusema hakuna mtu mweusi ambaye hana uchungu na nchi yetu...wapo na wengi tu..Kutomwezesha mzawa ni moja ya kuonyesha huna uchungu na nchi yako kwani nchi sio ardhi peke yake bali ni watu wanaoishi ktk ardhi hiyo.
Hivi kwa nini lakini kuwe na upendeleo? Kwa nini kusiwe na fursa sawa kwa wote nikiwa na maana kila mtu awe na nafasi inayolingana na mwingine katika kufanikiwa kimaisha na akishindwa basi hana mwingine wa kumlaumu isipokuwa yeye mwenyewe....
Kwa maoni yangu mimi naona cha muhimu hapa ni kuwa au kujenga nidhamu ya kufuata utawala wa sheria na utungaji wa sheria nzuri zisizo za kibaguzi zitakazoenda sambamba na utawala huo. Tutakapoliweza hilo naamini kabisa tutakuwa tumejenga misingi ya usawa wa fursa kwa wote bila kuangalia uzaliwa, rangi, dini, jinsia ya mtu na mambo mengine kama hayo.
Does that make sense, common sense that is?
Way to go Rush! A conservative thinking...!