Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Jibu na ukweli ndo huo! Wenyeji humu hatuzubaishwagi na hizo Id zenu za kimkakati
We unajishtukia ni muoga unavoonekana,kama ndo ubongo wako uko hivo unawaza id za kimkakati ni zp na unazihesabu pia bac una kazi kubwa ya kufanya ndugu,wanasiasa wamekufanya nini sijui,tunashukuru mungu wengnine hatujaaribiwa na politicians kihivyo kama ulivyo wewe unaonekana ni mzee wa negative tu
 
Asante mkakati maalumu 😂😂
 
Nimekujibu ni ubeligiji, Canada, Nigeria nk
Fafanua!!

Leta na ushahidi!!Wa nigeria kusafiri jimbo moja kwenda lingine unahitaji visa???

Wa canada kusafiri jimbo moja hadi lingine kuhitaji visa na Ubelgiji pia??

Pia lete mifano na ushahidi kuwa kwenye hizo nchi Mkazi wa jimbo moja haruhusiwi kupata kazi jimbo lingine 😂😂😂😂😂

Let’s ushahidi na uthibitisho hapa kwa hizo nchi ulizozitaja

Ukishindwa nawaambia mods wabadili id yako from Bia yetu to Certified Kilaza!!! Sawasawa??
 
Rais Magufuli anaweza kufanya mdahalo na lipumba Kwasababu anahadhi ya Urais

Sio yule msaliti wa Nchi, ni kumuaibisha Rais Magufuli kukaa meza moja na msaliti wa Nchi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa Kama Hana hadhi ya uraisi unampinga wa nini
 
Mwa mwanaume akitaka kuoa au akioa mke wa pili mke mkubwa lazma amseme mke mdogo kuwa mchawi katumwa na maadui kwao wana vichaa nk nk kila neno baya. Utawala wa majimbo ndiyo demokrasia kamili. Hii ya kuletewa mtawala DC au RC ambaye hata hajapigiwa kura na wananchi ni ukoloni, lazima tuongozwe na viongozi tuliowachagua siyo wanaopata uongozi kama zawadi au kifuta machozi baada ya kukosa ubunge,wanawajibika kwa aliyewapa zawadi ya Udc au uRC, mbunge tuamchagua hana mamlaka yeyote,ndiyo maana hatuendelei
 
Umeelewa kilichoandikwa au ulikimbia shule
Sijasahau ndugu nasubiria majibu yangu kwenye maswali niliyokuuliza!!

kurudi kwenye swali lako ndio nimeelewa kilichoandikwa!! Una lolote lingine??
 
Kwenye kundi la mamba' kenge hakosekani tunampinga ili Nchi yetu iwe salama kutoka kwa msaliti wa Nchi
Basi sisi tunamtaka huyu msaliti kwenu ninyi mnaouza Mali zetu ,.mnao fanya matumizi yasiyo kwenye bajeti , wenye double standard, mnaoua watu wanaompinga takakaka wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…