Umeandika nini sasa hii!!Wamedhulu sana Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini sasa hii!!Wamedhulu sana Watanzania
[emoji706][emoji706][emoji706]Kama mnajiamini kweli basi wekeni ulingo wa mapambano uliowazi, nasio kutaka watu wapigane na huku mwingine kafungwa kamba mkononi na mwingine mikono yake haijafungwa kamba.
Hakuna kipindi ambacho mmekuwa waoga kama uchaguzi huu, halafu mnafanya vitu vya uonevu wa wazi wazi wakati mlikuwa mnadai mnapendwa na wananchi na mmefanya mambo mengi ya maendeleo.
Mwambie mgombea wenu aache uoga, ushujaa wa mwanaume kushinda vita ni kupambana kwa jitihada zako sio kubebwa bebwa kwa wazi kabisa hata mtoto mdogo anaelewa
Naaaaam hakika hawa mabwana ni waoga haijapata kutokea hata siku moja hahhah wanajitekenya sana na kucheka wao wenyewe.[emoji706][emoji706][emoji706]