Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Anayetugawa ni lissu anayelipwa mabilion na Mabeberu ili awasaidie kuiba raslimali zetu
Kabla ya Lisu kurejea mlikuwa na huo umoja?Mbona kigwangala alipopata ajali watu wakamuonea huruma punda badala ya binadamu?Lissu alikuwepo?
Wapumbav wakubwa,hili jukwaa sio facebook!Shwain!
 
South Africa vifo ni kitu kingine ni xhenophobia,which is totally another concept...wewe ni kichaa.

Kenya nani kakwambia wanauana?Kenya ni nchi bora,hakuna kuuana..idadi ya kuua Tanzania ipo juu zaidi ya Kenya

Its sad sana tz ni sponsored killings..

Uuaji wa kikabila ni Rwanda na Burundi,na huko ni Mikoa hakuna majimbo...wanaita vitu kama Tarafa,mikoa ya Kikoloni,hakuna majimbo..kwahiyo wao ukabila sababu ni hiyo yako ya uongo ya majimbo?

Na China kuna majimbo,mbona hakuna ukabila wa kuuana?By the way China kuna makabila na lugha mbalimbali zaidi ya 150...

Hoja zako ni za uongo mno kama bwana wako magu anavyodanganya..eti majimbo ni ukabila,pumbavu nyote
 
Ulichosema kuhusu xhezophobia South Africa ni uongo...majimbo sio xhezophobia...hujui definition ya xhezonophobia?Shame on you

Kenya sio masikini kama Tanzania,you are not qualified kusema Kenya ni masikini maana unatoka nchi masikini zaidi yake....

Majimbo ni the best sera ever...

Na uzuri wananchi wamewaelewa sana Chadema,you will never win this!
 
Kwa iyo Tanzania tumeizidi Kenya??
 
Aisee..

Ushachanganyikiwa....

You are spewing nonsense aisee.....
 
Hizo Kampeni zenu, mambo yenu mnayatoa JF, yashaongelewa kitambo humu,Mshukuruni Max kwa kuwatengenezea jukwaa hili
 
Lissu alikuwa anahongwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu

Usaliti ni laana
Unaweza weka ushahidi hapa?

Au unaongea tu kujifurahisha?

Shida mnashindwa kuelewa hii audience ya JF,ni wasomi hizi propaganda do not quiet cut it....mngetakiwa facebook huko waliko wajinga
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini

Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati

Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu

Nyie mnaotaka kuleta ukabila na udini kupitia majimbo hamieni ubeligiji

Hizo labda takwimu zako lakini takwimu zinaonesha ni nchi ya 8 katika orodha ya masikini zaidi duniani, na ipo katika nchi ambozo zinatawaliwa kifikteta hazijali uhuru wa watu wake
 
Hii hapa ishu ya majimbo. Isome vizuri uelewe. Maelezo ya post yako umechukua kwenye ilani ya ccmView attachment 1590438

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hawa mataga wajinga kwel...uelewa mdg afu wanataka kupotosha watu wenye akili zao ..,.ilani ya chadema ni suluhisho la umasikin tz just in few years..mfumo mpya taonesha matunda haraka kuliko miaka 60 ya ccm
 
Ni vizuri ungetumia muda huu kujiuliza Kwa nini Wazanzibar walikuwa wanaondoka uwanjani leo wakati Magufuli wenu anahutubia kuliko kupiga propaganda uchwara kwenye Sera bora za CHADEMA ambazo watanzania wengi kwa pamoja tumezikubali na kuzipitisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…