Unaweza weka ushahidi hapa?
Au unaongea tu kujifurahisha?
Shida mnashindwa kuelewa hii audience ya JF,ni wasomi hizi propaganda do not quiet cut it....mngetakiwa facebook huko waliko wajinga
Kuanzia November ndio Rais wako View attachment 1590413View attachment 1590414
Hii hapa ishu ya majimbo. Isome vizuri uelewe. Maelezo ya post yako umechukua kwenye ilani ya ccmView attachment 1590438
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hawa mataga wajinga kwel...uelewa mdg afu wanataka kupotosha watu wenye akili zao ..,.ilani ya chadema ni suluhisho la umasikin tz just in few years..mfumo mpya taonesha matunda haraka kuliko miaka 60 ya ccm
In your lousy dreams!Msaliti wa nchi tunamwadhibu october 28
Bado unaamini hoja zako mfu za ukabila zitakusaidia mwaka huu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepotea sana mwana Lumumba
Watu wameielewa na kuikubali Sera ya majimbo. Wanajua duniani korte hayo unayoyasema hayapo kwenye nchi zinazofuata Sera hii!! Upotoshaji wenu hautawasaidia lolote mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lissu all the way [emoji3577][emoji3577]
Walioko ACT,CHAUMA,SAU,CUF,etc sio wasaliti?Ni Chadema tu..?Msaliti wa nchi yupo chadema anayewatetea mabeberu
Kwahiyo wewe unaogopa ukabila na udini si ndio?Wewe tutolee vitu vya uwongo,hapo ndio haitaleta ukabila na udini?
Msaliti aliemsaliti Magufuli ni sawa na I respect him na ni true hero to Tanzania...atapata 90% na JPM 10%....wait and see...Kwa hiyo unaamini msaliti wa Nchi atapata hata 2% ya kura?
Mwaka huu tutawafundisha adabu
Akina nani hayo?Wale lissu alikuwa anawatetea bungeni wachukue madini yetu
Akina nani hayo?
Wataje halafu uniambie kama sio wale walienda ikulu kula chai na Magufuli na kuingia mikataba na kupewa hela ndogo sana...
Mnakula mavi yenu wenyewe...
Niwekee clip hapa inayoonesha Lissu akitetea hao watu..weka hapa..
Yaani unadhani humu kuna matoto..hakuna
Msaliti aliemsaliti Magufuli ni sawa na I respect him na ni true hero to Tanzania...atapata 90% na JPM 10%....wait and see...
Na hii ni so scary to all of you ndio maana mnapaniki mno yaani....